Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,314
- 5,982
Kumbe kana mdogo mchafu hivyo?HA ha ha nimemsikiliza zamalad mwenyewe ktk ayo tv naona katumia maneno makali sana dhid ya waliomkosoa kwamba et upeo wao wa kufikili ni mdogo, ikumbukwe kwamba ndan ya waliokosoa wakiwemo TCRA, MAKONDA na BAADHI YA WANANCHI hii kauli sikuipenda na inatafsiri pana ingawa yeye na upeo wake mkubwa kama anavyodai kashindwa kuliona hilo coz had rais naye upeo wake ni mdogo kwa mujibu wake kwan ndiye aliye mteua mh makonda
my take;
unapotaka kuzungumza jambo ebu kua na uwanja mpana wa kufikilia kabla kutenda na sio unaroporopo tu kisa una uhuru wa kuongea