Nassib Ws Senior Member Joined Aug 11, 2012 Posts 170 Reaction score 115 Feb 25, 2016 #1 Wadau kama tittle inavosema, fungulia Clouds FM, Clouds TV au Choice FM muda huu Ruge Mutahaba anaelezea fursa kumi walizozifanyia uchunguzi wa kina.
Wadau kama tittle inavosema, fungulia Clouds FM, Clouds TV au Choice FM muda huu Ruge Mutahaba anaelezea fursa kumi walizozifanyia uchunguzi wa kina.
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,779 Reaction score 12,584 Feb 25, 2016 #2 haya tupe mojamoja pengine tutatoka
Nassib Ws Senior Member Joined Aug 11, 2012 Posts 170 Reaction score 115 Feb 25, 2016 Thread starter #3 So far ameshaelezea Fursa katika It & Techonology, Financial Services, Fashion and beauty and Transport and Logistics.
So far ameshaelezea Fursa katika It & Techonology, Financial Services, Fashion and beauty and Transport and Logistics.
P Pagan Amum JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 1,930 Reaction score 4,410 Feb 25, 2016 #4 Hapo kuna jipya gani sasa
Nassib Ws Senior Member Joined Aug 11, 2012 Posts 170 Reaction score 115 Feb 25, 2016 Thread starter #5 Pagan Amum said: Hapo kuna jipya gani sasa Click to expand... Mambo ni yale yale lakini in a different perspective.
Pagan Amum said: Hapo kuna jipya gani sasa Click to expand... Mambo ni yale yale lakini in a different perspective.