Ruge Mutahaba ajibu kuhusu bibi bomba kudhalilisha mabibi

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,137
2,000
Mapema wiki hii zilibuka tuhuma kwamba kipindi cha Bibi Bomba kinachorushwa katika kituo cha Clouds TV kimekuwa kikidhalilisha akina bibi wanaoshiriki katika shindano hilo la Bibi Bomba.

Ayo TV ilipata nafasi ya kufanya mahojiano na mkurugenzi wa ufundi na uzalishaji wa Clouds Media Group Bwana Ruge Mutahaba kuhusiana na tuhuma hizo..sikiliza link hapo chini.

Last edited by a moderator:

Mr.Mak

JF-Expert Member
Feb 23, 2011
2,823
2,000
Mapema wiki hii zilibuka tuhuma kwamba kipindi cha Bibi Bomba kinachorushwa katika kituo cha Clouds TV kimekuwa kikidhalilisha akina bibi wanaoshiriki katika shindano hilo la Bibi Bomba. Ayo TV ilipata nafasi ya kufanya mahojiano na mkurugenzi wa ufundi na uzalishaji wa Clouds
Media Group Bwana Ruge Mutahaba kuhusiana na tuhuma hizo..sikiliza link hapo chini.

Ruge Mutahaba Atoa Ufafanuzi Kuhusu kipindi cha BIBI BOMBA YouTube - YouTube

Mwongozaji wa kipindi na uongozi kwa ujumla nawashauri msimamishe hicho kipindi kiufupi mno mnawadharirisha mama zetu na bibi zetu.
Kumiriki media haina ulazima wa kuwafanya bibi zenu watumwa wa kutumikia hela kwa kuwadharirisha.
Mnajitafutia rana nyie. Ivi nyie bibi zenu sio bomba? Haya kusanya bibi za wafanyakazi wako wanaokubaliana na ujinga huo kisha muwashindanishe au nyie bibi zenu hawataki hizo hela?
 
Mshirazy

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
421
0

hivi hao mabibi hua wanalazimishwa kushiriki hilo shindano linalowadhalilisha?
 
Kizazi jeuri

JF-Expert Member
May 16, 2013
298
0
Mmekosa vitu vya msingi kuvifikilia? Ni vizuri kufikiria hatua zako zaidi kuliko kufikilia hatua za mwenzio.
 
Mr.Mak

JF-Expert Member
Feb 23, 2011
2,823
2,000
hivi hao mabibi hua wanalazimishwa kushiriki hilo shindano linalowadhalilisha?

Wametegeshewa pesa ktk kulazimidhwa. Ulazimisho upo indirect. Hata waliofanya biashara ya utumwa sikwamba walipenda bali walilazimishwa na uwepo wa soko na walikuwa forced kuacha baada ya kuona kuna udharirishwaji kwahiyo na clouds tunawalazimisha kwa ushauri kuacha.
 
hasason

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
1,558
2,000
Me sielewagi kabisa hii Bibi sijui bomba coz sijawahi hata kukitia machoni yan.
 
Easymutant

R I P
Jun 3, 2010
2,573
2,000
Hivi ye hana bibi? Ingependeza naye kuwa miongoni mwa washiriki ili wamuulize hayo maswali yao ya ki...nge
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,292
2,000
Mwongozaji wa kipindi na uongozi kwa ujumla nawashauri msimamishe hicho kipindi kiufupi mno mnawadharirisha mama zetu na bibi zetu.
Kumiriki media haina ulazima wa kuwafanya bibi zenu watumwa wa kutumikia hela kwa kuwadharirisha.
Mnajitafutia rana nyie. Ivi nyie bibi zenu sio bomba? Haya kusanya bibi za wafanyakazi wako wanaokubaliana na ujinga huo kisha muwashindanishe au nyie bibi zenu hawataki hizo hela?

Kijana, Kiswahili ni lugha ya Taifa la Tanzania, kitendee haki.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom