Ruge amzungumzia Jaydee, Ruby, Rama Dee, Diamond, THT, Fiesta na Muziki wa Bongo Fleva ndani ya XXL

Wa kimaendeleo,huyo bwana,kumbuka alikua na bifu na sugu mbunge,kuhusu kitu cha THT Kilochofunguliwa na kikwete
Kila mtu uwa anasema lake.
Mara wengine issue ilikuwa project ya malaria wewe leo unasema THT.
Issue nyingine haikuwa THT ilikuwa ni studio ya mziki iliyofunguliwa na JK siyo tht.
Ila issue kubwa kati ya ruge na sugu ilikuwa malaria project.
 
Sure man...
Inaelekea clouds fm wafanyakazi wake wanaenjoy kazi yao na wanapata opportunities nyingi.

Wengi wanaowapondea clouds ukitafakari utagundua ni wivu na matamanio ya aidha kuwa kama clouds fm au kuwa karibu nao ili waweze kuinjoi mafanikio na connection za clouds,lakini si kwamba kuna kitu serious kama wanavyodai eti ni wanyonyaji au wanabania wanamuziki,si kweli mimi nakataa,clouds ni watu makini linapokuja suala la burudani na si watu wa mchezo mchezo kama wenyewe wanavyosema.
 
Word...
Umemsiki hata ruby kwenda coke studio ni kazi ya THT.
 
Haaa Ruge Kupokezana Kijiti kwenye Mziki Hakuna kitu kama hicho,Kwenye mpira sawa maana umri ukienda nguvu za kukimbia zinaisha lakini sio mziki na ndio maana mpaka leo kina King Kiki bado wanagonga mziki.
 
Mkuu mbona una wivu mpaka umepitiliza!

Ndo watu design hiyo niliowasema kwenye post yangu ya mwanzo,yaani watu wanaumizwa na mafanikio ya clouds fm mpaka basi,wanafikia kiwango cha kuwapa kila aina ya sifa mbaya ili waonekane si lolote si chochote bila kutambua kwamba aliewapandisha ndio atakewashusha lakini binadamu wanaumia roho bila sababu za msingi kwa mafanikio ya wengine.
 
Binadamu wabaya sana mkuu
 
Jamaa yuko vizuri, ila ningependa kama wangemaliza bifu na Ladyjayde na rama dee tunakosa mziki wao mzuri hasa r&b ya rama d

Kiukweli steshen nyingine zinapiga ile hazipewi promo ya kutosha unaweza zisikia kwa mwezi mara moja
Angetumia tu busara za kiutu uzima hata kama wao hao wasanii ndio walikosea
 
Yaani,tena ubaya wao unakuwa bila sababu yoyote,wao wanaamua tu kumchukia mtu basi.Hamna jinsi inabidi uishi nao kwa akili kwani vinginevyo utapata taabu sana kwa kuwa kila mahali wapo na tabia zinafanana.
Kweli kabisa mkuu
 
Jamaa yuko vizuri, ila ningependa kama wangemaliza bifu na Ladyjayde na rama dee tunakosa mziki wao mzuri hasa r&b ya rama d

Kiukweli steshen nyingine zinapiga ile hazipewi promo ya kutosha unaweza zisikia kwa mwezi mara moja
Angetumia tu busara za kiutu uzima hata kama wao hao wasanii ndio walikosea

Mwenye tatizo ni JD na sio Ruge, kwani ni JD ndie alietoka hadharani na kuanza kuwatukana clouds fm bila kutaja sababu na kuwakatza wasipige nyimbo zake katika redio yao(clouds fm) na siku akifa wasifike kumzika na wakifika watu watakao kuwepo wawapige mawe Ruge na Kusaga,huo ni usia aliouandika hadharani na watanzania wengi waliuona na JD hakutoa nafasi ya suluhu kwa kuwa hakutaka hilo.
 
daaa na rama d?
 
Iko hivi, wanaomshutumu wakati wanamshutumu huwa na jazba na hasira, wote tunafahamu, mtu akiwa katika hali hiyo mara nyingi ataongea bila mpangilio.

Jiulize kwann na yeye huwa hajibu hapokwahapo bali husubiri hasira zake za kutajwa vibaya ziishe, kisha anajipanga vyema ili kuja kujibu hoja.

Hapo mnaona jamaa muungwana kweli na kusahau yote aliyolalamikiwa na wasanii.

Kwa fikra hizo mnazoonyesha, zidumu fikra za mwenyekiti,kidumu chama, acha tuisome namba.
 
Back
Top Bottom