Ruge amzungumzia Jaydee, Ruby, Rama Dee, Diamond, THT, Fiesta na Muziki wa Bongo Fleva ndani ya XXL

Ruge ndo nani
Kwani hujasoma huko juu ruge ni wakili wa Trump aliempeleka Mrisho Ngasa dawasco halafu sirro akanunua vocha ya airtel kulipia tiketi ya ndege iliyopata ajali daraja la salenda kwenye kona ya kwenda kigogo karibu na mkutano wa makonda ili maji yasilatike tena inabidi tuwe tunafanya sana mazoezi kwa ajili ya kila jumamosi kwenda karume kupanda meli ili safari ya kuhamia dodoma ikamilike watu wote waandamane
 
Sure man...
Inaelekea clouds fm wafanyakazi wake wanaenjoy kazi yao na wanapata opportunities nyingi.
Unajua kila mtu ni mpekee,huo ni mtazamo wako kutokana na alivyokufanyia mpaka kumkubali,huyo jamaa ana wivu sana anapenda sifa km kabila lake,hapendi kabisa aone mwenzake anatoka kimaisha, ndio maana anambania jide, lkn kumbe jide mjanja anaenda kwny media nyingine,na anatoka tu,kwa mwanaume Hiyo tabia sio,kwetu anavalishwa dela
 
Nimependa hapa tu...."Siku zote naamini kwenye kipaji na uwezo aliokuwa nao mtu katika kazi, Diamond alipigwa chini THT lakini hakukata tamaa."
 
Moja ya mtihani mgumu aliyotupa binaadamu ni kusamehe na kusahau na ndio maana kipimo unachotumia wewe kusamehe wenzako ndicho hicho kinatumika na Mungu kukusamehe dhambi zako.Ila tatizo sisi binadamu ni viburi na jeuri na ndio maana wengi wetu ni wagumu kuomba msamaha na kusamehe na hata tukisamehe bado tunakuwa na vinyongo (nimekusamehe lakini sitokusahau) ,mwisho wa siku mtashindwa kuzikana.

Tunapokosea tuwe wepesi sana wa kuomba msamaha kwa kutumia njia sahihi za kumfuata muhusika uso kwa uso ,ikiwezekana ukiwa na wasuluhuhishi na si kutumia hizi social media na vyombo vya habari na wewe unayeombwa msamaha usamehe wala usiweke kinyongo au si ile "nimekusamehe lakini sitokusahahu".

Vile vile hizi nafasi zisitupe kiburi na ujeuri na kujiona mungu watu kwa kuwakandamiza na kuwadhulumu wengine bali ziwe kwa ajili ya kuwasaidia wengine kwani huwezi jua msaada wako unaweza toka kwa yule uliyemdhulumu au kumkandamiza.
 
Back
Top Bottom