Rugby world cup 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rugby world cup 2011

Discussion in 'Sports' started by afrodenzi, Jan 19, 2011.

 1. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  yes count down is on , rugby world cup 2011..
  9 SEPTEMBER -23 OCTOBER

  POOLS

  POOL A

  New Zealand
  France
  Tonga
  Canada
  Japan
  POOL B
  Argentina
  England
  Scotland
  Georgia
  Romania

  POOL C

  Australia
  Ireland
  Italy
  Russia
  USA


  POOL D
  South Africa
  Wales
  Fiji
  Samoa
  Namibia.
  ladies and Gentlemen
  washabiki wa rugby, wapendwa, wageni
  yeeessss the count down is on.......
  napenda kuwa karibisha kwenye huu mlumbano wa rugby world cup 2011..
  Paul, the Psychic Octopus
  ali predict nchi moja kati ya hizo mmmhhh
  na we wa predict nchi ipi itatwaa kombe la Dunia??
   
 2. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Naona England Captain wao atakuwa nje kwa miezi sita. Lakini nina uhakika mwaka huu ni Argentina au Ireland.
   
 3. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  POOL B ni kundi la kifo, ARGENTINA,ENGLAND NA SCOTLAND
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  duuhh
  lakini bado ata make world cup
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  pool B
  hata mie naisubiria kwa hamu sana

  Argentina VS England


  halafu

  Scotland VS Georgia..


  duuuhh mkuu Pool A is not fear New Zealand itawasafisha hao wote...
  hakuna game hapo labda France itawababaisha kidogo saana
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mie na wasi wasi na NEW ZEALAND, AUSTRALIA NA SOUTH AFRICA..
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,790
  Likes Received: 83,167
  Trophy Points: 280
  AD kuna movie inaitwa invictus, Morgan Freeman alicheza kama Nelson Mandela inahusu mashindano ya kombe la dunia la Rugby yaliyofanyika South Africa na South Africa ikawa mabingwa. Sinema hiyo inasisimua sana jinsi ilivyoweza kuwaunganisha Wasouth Africa wa kila rangi katika kuishangilia timu yao. Kama sikosei invictus ilikuwa nominated kwenye Oscar lakini haikuambulia kitu. Kama hukuiona itafute utaipenda sana. Miye kwenye mashindano ya mwaka huu nazipa nafasi kubwa NZ, UK, South Africa na Australia.

  YouTube - "Invictus" - Official Trailer [HD]
   
 8. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  SOUTH AFRICA kwa sasa wamefulia si kama ilipochukua kombe hili 2007

   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,790
  Likes Received: 83,167
  Trophy Points: 280
  Miye nafikiri pia kuchezea nyumbani kuliwapa motivation kubwa sana na hivyo kucheza kwa ari na hivyo kuishangaza dunia pamoja na kuwa wengi hawakuipa South Africa nafasi kubwa ya kuibuka na ubingwa.

   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  duuhh nimeisikia hiyo movie lakini sikuifuatilia
  mmhh itabidi niende video easy leo
  hahaha ..

  mie UK si wapi kitu mwaka huu....
  competition iko kwenye hizo tatu zilizo bakia..
  usema ukweli nawa penda sana ALL BLACKS (NZ)
  lakini hawa WALLABIES (OZ) ...
  duuh naoana wameanza kuamka ile mbaya....
  SPRINGBOKS (SA) hawa watawapa competition moja ya hizo
  mbili kwenye semi/quarter final lol...
   
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,790
  Likes Received: 83,167
  Trophy Points: 280
  Itafute hiyo Invictus , miye pamoja na rugby si mpenzi kihivyo lakini niliipenda sana.
   
 12. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #12
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Ni kweli muheshimiwa lakini
  waki pick and choose wacheza bora kutoka kwenye super 14..
  naona watafika mahali...
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Jan 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,790
  Likes Received: 83,167
  Trophy Points: 280
  Hivi AD, kuna ranking za Rugby kama zile za FIFA zinazoonyesha ni nchi gani inachukua numero uno na kuendelea? Hawa France nao vipi? Kama sikosei miaka michache iliyopita nao walikuwa na timu nzuri sana
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  kuna wacheza wazuri sana wa Rugby SA ...
  lakini bado wameachwa underground ..
  yaani ndo maanake..
  wangeletwa wote mmmhhh hapo ndo ungeona Rugby ilivyo kuwa tamu..
  we mwangalie Bryan Habana jamaa anakimbia 11sec 100m
  huyu achana naye jamaa alifanya mashindano na cheetah kwa ajili ya charity ..
  ukicheki anavyo ruka hizo takle duuhhh
  ananipa raha....
   
 15. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #15
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  yap kuna ranking
  kwa sasa ALL BLACK (NZ) ndo number moja..
  kama unataka kuona zote visit hii website
  International Rugby Board - World Rankings: Full world rankings websit

  yap duuhh sifuatiliagi sana mambo ya SIX Nation
  lakini naoana France wamefanya vizuri sana 2010..
  ukiangalia game walio cheza na Italy ..
  duuhh waliwapa competition ..
  lakini haikuti kama game waliocheza
  game ya Crusaders VS Blues ( na hizo ni super 14 team sio hata Nation yote)..
  Sidhani kama france wataenda mbali mwaka huu
  sintashangaa kama Tonga wakiwaondoa France hahah lol
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  haya mkuu ntaifanyia kazi asantee..
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Jan 19, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hata hivyo naona wamepangwa na timu ambazo sio kali sana except for wales
   
 18. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #18
  Jan 19, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Yap Pool B ndio kundi la kifo
   
 19. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #19
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  yeah hilo Pool D SA watakuwa wametoka kirahisi ..

  mie nadhani Samoa watawapa SA ngumu kidogo..
   
 20. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #20
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hilo game la Argentina na England hata mie nasubiria kwa hama...
  na sintashangaa kama England wakitolewa na Argentina...
   
Loading...