Ukiwa mpenzi wa Rugby lazima utapenda uchezaji wa the Allblacks kwanza kunaile burudani kabla ya mechi ya ngoma ya kishujaa halafu mchezo wao unahusisha sana mbio na chenga za mwili.Pia wamefaidika sana kwa kuwachukua wachezaji wa visiwa vya karibu na kuwapa uraia ili wawatumie(Samoa,Tonga,Fiji etc).