RUFIJI: Wanafunzi 320 wanasomea chini ya Mti na kujisaidia porini

Aliyeleta Habari hyo asubirie KUFUNGULIWA Kesi ya uchochezi

Ova
 


Pichani ni DC wa Nakonde nchini Zambia Akisujudia na kushukuru Rais Wa Tanzania baada ya kumkabidhi shilingi mil 5 za ujenzi wa madarasa nchini Zambia
 
Milioni 5 kwa ajili ya kuimarisha uhusiano na nchi jirani ni good investment. Fedha kidogo sana. Mrejesho wake utakuwa mkubwa, kiasi cha mabilioni.

Hiyo shule Rufiji inatia uchungu. Uchungu wa kuona kuna wazazi na serikali za mitaa hawawezi hata kuchimba choo. Ningekuwa mwalimu hapo ningejitolea nichimbe choo na kukijengea kwa mikono yangu mwenyewe, badala ya kutumia matundu mawili na wanafunzi 400. Ni aibu!

Ni nchi ya aina gani ambayo inamsubiri Rais mpaka kwenye kuchimba vyoo vya matundu? Ni kilema gani hiki? Kuna haja ya kuchapa watu viboko sehemu hiyo.

Ni tumaini langu kwamba DC atatumbuliwa kwa kuruhusu hali hii. DED, na wote ambao walitakiwa waongoze huko watumbuliwe, ni majipu, tena yaliyoiva. Hata RC ni mpuuzi. Itakuwaje aruhusu hali hii chini ya mamlaka yake? Naye atumbuliwe tu. Na nimekumbuka Brigadier General juzi kapewa kazi ya kuchapa ma RC wazembe viboko. Pa kuanzia pamepatikana.

Wapuuzi sana.
 
Good
 
Ni haki yao kujengewa vyoo. Walimu na wazazi wa hao wanafunzi ni walipa kodi. kuna watu nchii hii wanalipiwa ada kula na kulala kwa kodi zetu kwanini sio wao???
 
Kodi imepelekwa mfuko mkuu
 
Ni haki yao kujengewa vyoo na madarasa na wala sio msaada
 
spending vs investing
 
kawataja DED na DC wahusike kujenga..
Hoja yako imezingatiwa tutajenga..
Tunakili mapungufu
Ni haki yao kujengewa vyoo. Walimu na wazazi wa hao wanafunzi ni walipa kodi. kuna watu nchii hii wanalipiwa ada kula na kulala kwa kodi zetu kwanini sio wao???
 
Tunagawa zambia pesa
 
Daaah
 
msubiri 2050 sasa CCM inanunua ndege kwanza!!!
 
Mzazi mmoja anaweza jenga nyumba yake lakini wazazi wa watoto 400 wanashindwa jenga madarasa 5 kwa ajiri ya watoto wao mpaka wajengewe na serikali? Mambo mengine ni uninga wa ngozi nyeusi tu kila kitu serikali ndio inawatuma kuzaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…