Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wakati huo huo tunatoa mihela Kwa watu ili tupate sifa"Tunanunua ndege,na kujenga Standadi gegi na stigulaz goji.....elimu baadae"
Shule ya Msingi King'ongo inakabiliwa na changamoto nyingi lakini kubwa zaidi ni ile ya wanafunzi wake 320 kati ya 444 kusomea chini ya miti na kukaa chini huku wanafunzi 124 pekee ndio ambao wanasomea darasani tena ni wale ambao wana Mitihani ya Taifa.
Shule hii ipo katika Kata ya Muhoro iliyopo Wilayani Rufiji Mkoa wa Pwani ambapo wanafunzi hao wote 444 wanatumia choo kimoja kilichozungushiwa makuti chenye matundu mawili tu tena hadi walimu wao 9 wanatumia choo hicho, huku wengine wakilazimika hata kujisaidia porini.
Source: millardayo
View attachment 1224757
GoodPesa Inayonuna Ndege 1 kwa bilion 270 airbus inaweza kujenga shule za kisasa za milion 100 Kila Moja Zaidi Ya 270 Zitakazodumu Kwa Miaka 50 Na Kutoa Ajira Kwa Walimu Kama 2700 Wakati Ndege Sina Uhakika Kama Inaweza Dumu Kwa Miaka 30" Pamoja Na Kufanyiwa Service Kila Mara
dona kantriView attachment 1224867
Pichani ni DC wa Nakonde nchini Zambia Akisujudia na kushukuru Rais Wa Tanzania baada ya kumkabidhi shilingi mil 5 za ujenzi wa madarasa nchini Zambia
Kutoa ni moyo usambe ni utajiri!
Ni haki yao kujengewa vyoo. Walimu na wazazi wa hao wanafunzi ni walipa kodi. kuna watu nchii hii wanalipiwa ada kula na kulala kwa kodi zetu kwanini sio wao???Milioni 5 kwa ajili ya kuimarisha uhusiano na nchi jirani ni good investment. Fedha kidogo sana. Mrejesho wake utakuwa mkubwa, kiasi cha mabilioni.
Hiyo shule Rufiji inatia uchungu. Uchungu wa kuona kuna wazazi na serikali za mitaa hawawezi hata kuchimba choo. Ningekuwa mwalimu hapo ningejitolea nichimbe choo na kukijengea kwa mikono yangu mwenyewe, badala ya kutumia matundu mawili na wanafunzi 400. Ni aibu!
Ni nchi ya aina gani ambayo inamsubiri Rais mpaka kwenye kuchimba vyoo vya matundu? Ni kilema gani hiki? Kuna haja ya kuchapa watu viboko sehemu hiyo.
Ni tumaini langu kwamba DC atatumbuliwa kwa kuruhusu hali hii. DED, na wote ambao walitakiwa waongoze huko watumbuliwe, ni majipu, tena yaliyoiva. Hata RC ni mpuuzi. Itakuwaje aruhusu hali hii chini ya mamlaka yake? Naye atumbuliwe tu. Na nimekumbuka Brigadier General juzi kapewa kazi ya kuchapa ma RC wazembe viboko. Pa kuanzia pamepatikana.
Wapuuzi sana.
Kodi imepelekwa mfuko mkuuSiamini kama hali hiyo bado ipo hapa Tanzania hasa Tanzania ya Magufuli na hasa kwenye Mkoa ambao unaongoza kwa uwekezaji wa viwanda. Halmashauri imekwama wapi kwenye suala hili? Mamlaka ya Mkoa haijui jambo hili kweli? Hii wala si ya Serikali kuu hii ni ya Serikali za mitaa. Wakati serikali kuu inapambana na miradi mikubwa ya kitaifa basi serikali za mitaa zipambanae na haya madogo. Mkurugenzi wa Rufiji inabidi ajitathmini kabla Mh Waziri Mkuu hajatia timu hapo.
Millard ni mtu wao,watamlindaAliyeleta Habari hyo asubirie KUFUNGULIWA Kesi ya uchochezi
Ova
Ni haki yao kujengewa vyoo na madarasa na wala sio msaadaMilioni 5 kwa ajili ya kuimarisha uhusiano na nchi jirani ni good investment. Fedha kidogo sana. Mrejesho wake utakuwa mkubwa, kiasi cha mabilioni.
Hiyo shule Rufiji inatia uchungu. Uchungu wa kuona kuna wazazi na serikali za mitaa hawawezi hata kuchimba choo. Ningekuwa mwalimu hapo ningejitolea nichimbe choo na kukijengea kwa mikono yangu mwenyewe, badala ya kutumia matundu mawili na wanafunzi 400. Ni aibu!
Ni nchi ya aina gani ambayo inamsubiri Rais mpaka kwenye kuchimba vyoo vya matundu? Ni kilema gani hiki? Kuna haja ya kuchapa watu viboko sehemu hiyo.
Ni tumaini langu kwamba DC atatumbuliwa kwa kuruhusu hali hii. DED, na wote ambao walitakiwa waongoze huko watumbuliwe, ni majipu, tena yaliyoiva. Hata RC ni mpuuzi. Itakuwaje aruhusu hali hii chini ya mamlaka yake? Naye atumbuliwe tu. Na nimekumbuka Brigadier General juzi kapewa kazi ya kuchapa ma RC wazembe viboko. Pa kuanzia pamepatikana.
Wapuuzi sana.
Pesa Inayonuna Ndege 1 kwa bilion 270 airbus inaweza kujenga shule za kisasa za milion 100 Kila Moja Zaidi Ya 270 Zitakazodumu Kwa Miaka 50 Na Kutoa Ajira Kwa Walimu Kama 2700 Wakati Ndege Sina Uhakika Kama Inaweza Dumu Kwa Miaka 30" Pamoja Na Kufanyiwa Service Kila Mara
Ni haki yao kujengewa vyoo. Walimu na wazazi wa hao wanafunzi ni walipa kodi. kuna watu nchii hii wanalipiwa ada kula na kulala kwa kodi zetu kwanini sio wao???
Tunagawa zambia pesaShule ya Msingi King'ongo inakabiliwa na changamoto nyingi lakini kubwa zaidi ni ile ya wanafunzi wake 320 kati ya 444 kusomea chini ya miti na kukaa chini huku wanafunzi 124 pekee ndio ambao wanasomea darasani tena ni wale ambao wana Mitihani ya Taifa.
Shule hii ipo katika Kata ya Muhoro iliyopo Wilayani Rufiji Mkoa wa Pwani ambapo wanafunzi hao wote 444 wanatumia choo kimoja kilichozungushiwa makuti chenye matundu mawili tu tena hadi walimu wao 9 wanatumia choo hicho, huku wengine wakilazimika hata kujisaidia porini.
Source: millardayo
View attachment 1224757
DaaahPesa Inayonuna Ndege 1 kwa bilion 270 airbus inaweza kujenga shule za kisasa za milion 100 Kila Moja Zaidi Ya 270 Zitakazodumu Kwa Miaka 50 Na Kutoa Ajira Kwa Walimu Kama 2700 Wakati Ndege Sina Uhakika Kama Inaweza Dumu Kwa Miaka 30" Pamoja Na Kufanyiwa Service Kila Mara
msubiri 2050 sasa CCM inanunua ndege kwanza!!!Shule ya Msingi King'ongo inakabiliwa na changamoto nyingi lakini kubwa zaidi ni ile ya wanafunzi wake 320 kati ya 444 kusomea chini ya miti na kukaa chini huku wanafunzi 124 pekee ndio ambao wanasomea darasani tena ni wale ambao wana Mitihani ya Taifa.