Rufaa za Mitihani ya NECTA: Kesi ya mbuzi kupelekwa kwa chui | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rufaa za Mitihani ya NECTA: Kesi ya mbuzi kupelekwa kwa chui

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Jitume, Jul 27, 2011.

1. J

Jitume Senior Member

#1
Jul 27, 2011
Joined: Dec 13, 2008
Messages: 135
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
Nimekuwa nikifuatilia matokeo ya rufaa zinazoombwa na watahiniwa wanapohisi kuonewa katika usahihishaji wa Mitihani mara baada ya Matokeo kutolewa na Baraza la Mitihani. Haya ni pamoja na matokeo ya Form IV,VI,Vyeti na Diploma za Ualimu.

Mara nyingi rufaa zote(angalia matokeo ya sasa website ya NECTA), matokeo yake huwa hayabadiliki. Wao wanaandika "Hayajabadilika"

Huko nyuma wakati niko shule ilikuwa ni kawaida walimu kama binadamu, kupitiwa na kukosesha mwanafunzi swali alilofanyavizuri. Na ni kote, Chekechea hadi vyuo. Inakuwaje NECTA kusiwe na binadamu wa namna hiyo wakati tunaambiwa wasahihishaji hukusanywa kutoka taasisi zilezle ambako tumekuwa tukishuudia kasoro hizo za kibinadamu? yahani warufaa woote hakuna aliyeshinda!!! Wote hakuna aliyekuwa na busara na kupima alichofanya kuwa hakistahili kukatiwa rufaa!!

Hivi ni sahihi na kuwatendea haki watahiniwa, rufaa zao kurejewa(kupitiwa upya) na taasisi ileile inayotuhumiwa kusahihisha vibaya? Nahisi Necta hawawezi tenda haki kwa sababu:

1) Wao ni watuhumiwa wa kutokutenda haki katika usahihishaji wa mwanzo
2) Wataacha matokeo yawe yaleyale ili kuficha udhaifu uliofanyika mwanzo
3) Wastahiki wa kushinda rufaa hawatapewa ushindi kwa kuofia hata wale wasiositahiki watakuwa wamepoteza imani kwa wasahihishaji.

Maoni yangu: Kuwepo na chombo au Kamati maalumu baada ya matokeo ambayo itafanya kazi hiyo badala ya kufanywa na Baraza. Kamati hiyo isiwe na mafungamano yoyote na NECTA. Ikibidi warufani wenyewe walipie gharama za kurejea usahihishaji. Baraza linaweza kuwekewa utaratibu kupitia kile kilichofanywa na kamati hiyo itakayojitegemea. Hapa Warufaa watakuwa wametendewa haki. Mnasemaje?

2. hengo

hengo JF-Expert Member

#2
Jul 27, 2011
Joined: Jun 6, 2011
Messages: 403
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Jamani kufeli na kukimbilia rufaa si fresh.

3. C

CHUAKACHARA JF-Expert Member

#3
Jul 27, 2011
Joined: Jun 3, 2011
Messages: 12,206
Likes Received: 3,827
Trophy Points: 280
You have a point to deliberate on!!!! hatujui wanatumia utaratibu gani kupitia rufaa hizo. Necta please this is a great concern. Lazima haki itendeke na siyo kutendeka, ionekane imetendeka

4. Fasouls

Fasouls JF-Expert Member

#4
Jul 27, 2011
Joined: Jun 24, 2011
Messages: 922
Likes Received: 60
Trophy Points: 45
Uko sawa! ila kwnn kusiwe na active follow up kwa wale markers kuhakiksha kwamba wana mark vzuri kulko kuwaachia wenyewe then supervisor anatia sign then habari inaishia hapo! Hilo ndilo linalo wafanya markers wamark watakavyo wakijua kwamba ikiwa wamesahihisha vibaya ipo rufaa asiye ridhka atakata!

5. Nzowa Godat

Nzowa Godat JF-Expert Member

#5
Jul 27, 2011
Joined: Jun 15, 2011
Messages: 2,630
Likes Received: 153
Trophy Points: 160
Jamani, usahihishaji wa mitihani yote ya NECTA ni very accurate and fair. Mtu akifeli asipoteze muda wake kukata rufaa, kila swali hupitiwa na wataalamu wasiopungua wanne wa somo hilo, wote wakiwa na nia ya kumtendea haki mtahiniwa ambaye hata hawamjui. Kwa hiyo ukisikia mtu kafeli ujue ni kweli kafeli. Sitaki kueleza mengi maana mambo ya marking ni siri, ila tu watu wasipoteze muda kukata rufaa!!

6. Nzowa Godat

Nzowa Godat JF-Expert Member

#6
Jul 27, 2011
Joined: Jun 15, 2011
Messages: 2,630
Likes Received: 153
Trophy Points: 160
Jamani, usahihishaji wa
mitihani yote ya NECTA ni
very accurate and fair. Mtu
akifeli asipoteze muda wake
kukata rufaa, kila swali
hupitiwa na wataalamu
wasiopungua wanne wa somo
hilo, wote wakiwa na nia ya
kumtendea haki mtahiniwa
ambaye hata hawamjui. Kwa
hiyo ukisikia mtu kafeli ujue ni
kweli kafeli. Sitaki kueleza
mengi maana mambo ya
marking ni siri, ila tu watu
wasipoteze muda kukata
rufaa!!

7. MkimbizwaMbio

MkimbizwaMbio JF-Expert Member

#7
Jul 27, 2011
Joined: Nov 16, 2010
Messages: 872
Likes Received: 4
Trophy Points: 0
Wewe ni NECTA?

8. Mkirua

Mkirua JF-Expert Member

#8
Jul 27, 2011
Joined: Sep 9, 2010
Messages: 5,667
Likes Received: 24
Trophy Points: 135
Tatizo la watanzania ni wabishi hadi kwenye taaluma. On top jambo usilolijua ni saswa na usiku wa kiza. Ungejua ussahihishaji unavyokuwa monitored na watu wengi nyuma ya aliyeweka kalamu nyekundu usingepoteza fedha zako kukata rufaa!! Ni ule ubishi tu unaosababishwa na malezi ya kimarekani tunayaowapa wanetu....oh nimeonewa baba kumbe toto kichwa maji...

Na wewe unayeuliza wenzio wewe NECTA kwani unawajua wote unaojibizana nao humu? Wengine ni washiriki wa kusahihisha hizo rufaa na hukutana na vituko eti jitu limepata 3 kati ya 100 linapoteza pesa kukata rufaa.... Nisiseme mengi maana haya mambo ni confidensho sana ila watanzania tujenge tubadilike. Hoja ya chombo huru sina shaka nayo lakini sio suluhisho la kufaulu mitihani..

Utasikia mtu anakwambia nasubiri matokeo ya rufaa maananatafuta c moja tu niapply chuo..... Ivi C inatafutwa kweenye rufaa au darasani? ...Sikatai watu wasikate rufaa na si kweli kuwa zote hazibadiliki pitia kwenye website yao utaona zipo chache sana zinazobadilika kinyume na madai ya mtoa mada.

9. Viper

Viper JF-Expert Member

#9
Jul 27, 2011
Joined: Dec 21, 2007
Messages: 3,665
Likes Received: 44
Trophy Points: 145
hahaha! hakuna uonevu!.. ni mwanafunzi tu anakuwa kwenye denial na hakubali kwamba kachemka! na anatakiwa ajipange upya!

10. Perry

Perry JF-Expert Member

#10
Jul 27, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280
kumbe na we ni m1 wa wa2 waliodiriki kunifelisha 4m 6?bac,natangaza rasmi kukuroga uzid kuangukiwa na neema ya kusahihisha hzo paper kila mwaka.

11. g

gracious86 JF-Expert Member

#11
Jul 28, 2011
Joined: Mar 25, 2011
Messages: 433
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
hahahah,hahahaa haha...mkuu kumbe ulifeli form6 ukareseat af kwa hasira ukapiga mabanda ukaenda udsm...hahaa

12. Perry

Perry JF-Expert Member

#12
Jul 28, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280
umeona eee?

13. MkimbizwaMbio

MkimbizwaMbio JF-Expert Member

#13
Jul 28, 2011
Joined: Nov 16, 2010
Messages: 872
Likes Received: 4
Trophy Points: 0
Hongera kwa kuajiriwa NECTA.

14. tindikalikali

tindikalikali JF-Expert Member

#14
Jul 28, 2011
Joined: Jan 14, 2011
Messages: 4,883
Likes Received: 96
Trophy Points: 135
Ni ubishi usio na msingi, mtu gani anaweza kuonewa kila somo? makosa yapo hatukatai lakini hayawezi kukutoa division one mpaka div 3 au 4. Wengi huwa wanajifanya wajuaji kumbe kichwani hamna kitu, mwisho wa siku wanakimbilia kukata rufaa. Mbona huwa inajulikana mapema nani atafaulu na nani atafeli.

15. tindikalikali

tindikalikali JF-Expert Member

#15
Jul 28, 2011
Joined: Jan 14, 2011
Messages: 4,883
Likes Received: 96
Trophy Points: 135
We ulifeli hakuna mtu anayeweza kukufelisha , we nani kwanza mpaka ufelishwe?

16. Perry

Perry JF-Expert Member

#16
Jul 28, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280

me m2!me nazingua 2 mkuu,cjawah kufeli ktk maisha yangu na ctarajii kufeli mtihan wowote mayb nifeli maisha 2.

17. g

gracious86 JF-Expert Member

#17
Jul 28, 2011
Joined: Mar 25, 2011
Messages: 433
Likes Received: 2
Trophy Points: 35

nimeipenda iyo..! Af nahis kama 2lisoma wote primary! Teh teh teh...

18. Perry

Perry JF-Expert Member

#18
Jul 28, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280

umesoma wap primary mkuu?

19. Mkirua

Mkirua JF-Expert Member

#19
Jul 28, 2011
Joined: Sep 9, 2010
Messages: 5,667
Likes Received: 24
Trophy Points: 135
Wee Mkimbizwambio Ona unavyojifelisha sasa.... Humu nutawajua tu walozungusha halafu wanakasirikia NECTA. Laumu ulipojikwaa sio ulipoangukia....

20. Mwanaukweli

Mwanaukweli JF-Expert Member

#20
Aug 5, 2011
Joined: May 18, 2007
Messages: 4,451
Likes Received: 288
Trophy Points: 180
Nakubaliana nawe.

Mie pia nimewahi kuitwa kusahihisha paper za waliokata rufaa. Case kama hiyo mtu amepata 5/100 anakata rufaa, na unaporudia unaona kweli mtu kama amepelekwa kufanya mtihani kwa kitu ambacho hakusomea.

Wazazi wengine hawako tayari kukubali udhaifu wa watoto wao. Halafu mambo ya kutoa visingizio ni kitu ambacho tumeanza kukifanya ni utamaduni wetu. Which is bad. Kwanini tusijiulize sababu za kufeli huko. By the way mbona wanaofaulu bado pia wapo?? Wanasahihishiwa na NECTA hao hao, mbona hatujahoji kwa nini wengine wafaulu na wengine wafeli?

Loading...