Rufaa ya Lema kusikilizwa leo

Status
Not open for further replies.
Tungekuwa tunapewa updates za hela zinazochotwa na mafisadi CCM I'm sure ningekuwa na ulcers! Hakuchukua mifyagio, madekio, meza na vitasa kama Lawrence Masha?
 
ukiwa pashkuna na mmbeya utasutwa

foolish thread

tatizo lako ni uelewa hapo juu imeandikwa tetesi hivyo basi kama unajua kiundani kuhusu hizo habari ziweke hapa
 

Aisee, kazi mnayo
 
Mhasibu wa CDM!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
tatizo lako ni uelewa hapo juu imeandikwa tetesi hivyo basi kama unajua kiundani kuhusu hizo habari ziweke hapa

tetesi za nini punguza upumbavu bana!
Ina maana na wewe ukiambiwa unakunya barabarani nayo ni tetesi!
Jipime kabla ya kupost
 

acha umalaya.
 
Umekosea. Kuna njiwa kaniambia kuwa aliondoka na trilioni 80. Halafu sisimizi wameniambia kuwa Lema kumbe ndiye mdhamini mkuu wa Bill Gates. Pia kuna nyoka nilimsikia akisema kuwa CDM ndiyo wanadhamini kampeni za urais za Mitt Romney. Je waweza kuamini kuwa huu ni ukweli mtupu bwana mdogo Comi?
 
Huwa mnatafuta njia kuchafua makamanda ila hamtofanikiwa.MPELEKENI KWANZA MZEE WA VIJISENT KORTINI
 
LIVE kutoka TEGETA kibaoni: Leo ndio tunasafirisha mwili wa baba yake Lissu.
 
Leo ndiyo rufaa ya Lema itaanza kusomwa/sikilizwa rasmi, then itapangiwa tarehe ya hukumu
 
.
Pombe za kisasa hizi zinazowekwa kwenye kiroba ni za ajabu sana!
Kuna moja inatengenezwa na Jamaa wa Banana Investment inaitwa FIESTA ukinywa ni lazima ukate mawasiliano kwa sekunde 45!
 
Hah! Kumbe lema alivyovuliwa ubunge alivuliwa na uanachama caus u reported as if lema is not exist at all in the part thus they can do no about such a pathetic accusation!
 
Hacheni wivu kwani akianzisha ndio nini
 
Hacheni wivu kwani akianzisha ndio nini

mkuu siyo wivu, ukianzisha thread wakati hauko kwenye tukio unawapa kazi ya ziada mods kuupdate thread wakati ilikuwa kazi ya mwanzishaji, ange subili kidogo watu walioko Arusha wako Active sana wang'e anzisha tu..
 
mkuu siyo wivu, ukianzisha thread wakati hauko kwenye tukio unawapa kazi ya ziada mods kuupdate thread wakati ilikuwa kazi ya mwanzishaji, ange subili kidogo watu walioko Arusha wako Active sana wang'e anzisha tu..

Halafu nasikia mawakili wameomba isogezwe hadi Oct 2?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…