Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Leo ndiyo rufaa ya Lema itaanza kusomwa/sikilizwa rasmi, then itapangiwa tarehe ya hukumu
kamanda nakutegemea sana kunitujuza kinachoendelea usisahau na picha..
Leo ndiyo rufaa ya Lema itaanza kusomwa/sikilizwa rasmi, then itapangiwa tarehe ya hukumu
Halafu nasikia mawakili wameomba isogezwe hadi Oct 2?
Hata Jaji Mkuu bado kalala.
Huyu Tundu Lissu basi atakuwa mtenda miujiza, juzi tu kajiunga na utetezi, amefanya kazi ya utetezi siku mbili?
Bila shaka leo ndiyo kucheka au kulia tena kwa Wananchi wa Arusha Mjini. Jopo la Majaji likiongozwa na Jaji Mkuu linatazamiwa kutoa hukumu ya Rufaa ya aliyekuwa Mbunge wao kipenzi Godbless Lema. Matumaini yetu ni Ushindi kwa wana Arusha hasa ukizingatia rufaa ya Lema imesimamiwa na Wanasheria mahili wa CDM kama Tundu Lisu.Walio Arusha tupeni hali halisi ya Jiji hilo na nini kinaendelea.
Naomba kuwasilisha..
Hivi Chadema wameishawahi kuwatangazia wanaowachangisha mpaka sasa hivi wana kiasi gani cha pesa za M4C.
ukiwa pashkuna na mmbeya utasutwa
foolish thread
Kuna tatizo hapa. Lengo la uzi ni kupata updates ya kinachoendelea as far as tayari kwenye ratiba tuna taarifa kuwa rufaa ya Lema inasikilizwa leo.
Hoja hapa ni watu wenye taarifa kutujuza I mean kutuhabarisha juu ya nini kinaendelea. I personally started the thread to know what is going on regardless I am in Arusha or not. I have the right to know.
Kuna tatizo hapa.
Kutokana na baadhi ya watu kuamini siasa ni mchezo mchafu au wajinga ni chakula cha wasomi kuna tetesi zinazoenea kuwa baada ya G. Lema kuvuliwa ubunge kuna kiasi cha shilingi milioni 80 za chama hazijulikana zilipotelea wapi na wala zilitumika katika shughuli gani ila ili CDM kiendelee kuwa na wanachama viongozi wa juu wamefunika swala hilo.
My take:
kama ni kweli kuna ubadhilifu mkubwa hivyo kunatakiwa mapato na matumizi ya chama kubandikwa katika kila ofisi ya chama ili kuwawekea wanachama imani katika viongozi wao
yaani hiyo thread yako ingeanza saa 11 hakuna mtu angekushambulia..kesi ni trh 2.10.12