ukiwa pashkuna na mmbeya utasutwa
foolish thread
Kutokana na baadhi ya watu kuamini siasa ni mchezo mchafu au wajinga ni chakula cha wasomi kuna tetesi zinazoenea kuwa baada ya G. Lema kuvuliwa ubunge kuna kiasi cha shilingi milioni 80 za chama hazijulikana zilipotelea wapi na wala zilitumika katika shughuli gani ila ili CDM kiendelee kuwa na wanachama viongozi wa juu wamefunika swala hilo.
My take:
kama ni kweli kuna ubadhilifu mkubwa hivyo kunatakiwa mapato na matumizi ya chama kubandikwa katika kila ofisi ya chama ili kuwawekea wanachama imani katika viongozi wao
tatizo lako ni uelewa hapo juu imeandikwa tetesi hivyo basi kama unajua kiundani kuhusu hizo habari ziweke hapa

.Kutokana na baadhi ya watu kuamini siasa ni mchezo mchafu au wajinga ni chakula cha wasomi kuna tetesi zinazoenea kuwa baada ya G. Lema kuvuliwa ubunge kuna kiasi cha shilingi milioni 80 za chama hazijulikana zilipotelea wapi na wala zilitumika katika shughuli gani ila ili CDM kiendelee
LIVE kutoka TEGETA kibaoni: Leo ndio tunasafirisha mwili wa baba yake Lissu.
Hacheni wivu kwani akianzisha ndio nini
mkuu siyo wivu, ukianzisha thread wakati hauko kwenye tukio unawapa kazi ya ziada mods kuupdate thread wakati ilikuwa kazi ya mwanzishaji, ange subili kidogo watu walioko Arusha wako Active sana wang'e anzisha tu..