Bado sasa hivi leo 22.9.2020 alikuwa na press conference akilalamioa majibu kuchelewaKarudishwa
Bado sasa hivi leo 22.9.2020 alikuwa na press conference akilalamioa majibu kuchelewaKarudishwa
Umeoga lakini?Huyo mama aliyataka mwenyewe. Sasa mwana kulitafuta mwana kuli............... ( Naomba mmalizie wenyewe wasomaji wangu)
hvi kwann huko morogoro majimbo mengi ccm wamepita bila kupngwa au huko ndo kuna mainjinia wa michezo michafuMajibu gani hawa wote walishajibiwa wanawadanganya tu. Hao wabunge waaliopita bila kupingwa wapo orodha ya wabunge 20 Morogoro ni
Mvomero
Gairo,
Vijijini kwa meneja wa Diamond,
Kilosa kwa Kabudi,
Mlimba nk.
Hivi kweli jamani taifa la watu million 60! Tunakosa watu wa kutegemewa, waungwana, wasio egemea upande kwenye kutenda haki????.... Kweli? Kweli.....ni mojawapo ya failures za ccm, wameongoza zaidi ya miaka 60 lkn taasisi zilizo huru zimewashinda kuunda. Inasikitisha sana.Mpaka jana Tume walikuwa hawataki kurudisha jina lake.
Akatoa mapicha yakionyesha msimamizi wa uchaguzi alitemper form ya mgombea na kumwekea pingamizi.
Bas watangaze kuwa rufaa zao zimekataliwa. Huo ndio uungwanaKeshapigwa chini. Rufaa zote zimeshaamuliwa na CCM wameshapita majimbo 20 likiwemo hilo la mama mzembe. Hapo wanawazuga tu wanachama wao kwa vile wanajua ni nyumbu mtaamini tu wanachowadanganya.
Huyo Kunambi wa Mlimba yupo kwenye orodha ya wabunge 20.
Wa Morogoro mjini ndio karudishwa anaitwa Minja
Mgombea wa CHADEMA bado anasubiri jibu la Tume ya Uchaguzi ya Taifa mjini Dodoma kutoa hatima ya mgombea wetu kupitia Rufaa aliyoiwasilisha Dodoma.
Tunamuhitaji sana huyu Kamanda Kiwanga arudi mjengoni Dodoma
Hawa ndo watu wenye akili sawa wanaotakiwa kuingia bungeni sio mazwazwa na misukule ya ccm
Wameandikiwa barua, sio zimekataliwa, zilikubaliwa na zikasikilizwa na kuonekana hazina mashiko zikatupwa hivo kuenguliwa rasmiBas watangaze kuwa rufaa zao zimekataliwa. Huo ndio, z uungwana
Imeagizwa ni lazima kunambi awe mbunge hata ikibidi kuua watuwote wa jimbo la MlimbaWadau naomba kuuliza kama mgombea Ubunge Jimbo la Mlimba kupitia CHADEMA, mheshimiwa Susan Limbeni Kiwanga kama rufaa yake ya kupinga kuondolewa kugombea Ubunge ilishatolewa uamuzi na tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)?
Hivi hawawezi kupinga mahakamaniMajibu gani hawa wote walishajibiwa wanawadanganya tu. Hao wabunge waaliopita bila kupingwa wapo orodha ya wabunge 20 Morogoro ni
Mvomero
Gairo,
Vijijini kwa meneja wa Diamond,
Kilosa kwa Kabudi,
Mlimba nk.
Imetoka hiyo, hakuna namna tena. Tatizo wanajifanya kujua sana, sasa wenzao wanawatega padogo mnoHivi hawawezi kupinga mahakamani
Hawa nec ndio wanaenda kuvunja amani ya TanzaniaNaona jamaa zetu UVCCM wao wanajiliwaza kuwa mgombea wao Godwin E. Kunambi amepita bila ya kupingwa wakati Tume ya Uchaguzi ya Taifa bado haijasikiliza na kutoa majibu ya rufani ya mgombea wetu kamanda S. Kiwanga