Ruby yenye thamani ya bil 276 ilisafirishwa kimagendo huko Dubai? Serikali haina taarifa ilifikaje

Niliwahi kureply sehemu kuwa soon Zanzibar itazalisha madini.

Na lazima tujue na kufahamu wazi hakuna njia nzuri ya kusafirisha hivi vitu kama kupitia zanzibar ilhali ukiongea nao vizuri .

Hivi haya madini yameondoka wakati gani wadau?.
 
Ilipatikana lini?

Wakati wa mlipuko huko winza, mpwapwa tulikuwepo

Mpaka mawe yakakata

Waliyopata walipata waliyokosa walikosa

Kwa sasa mlio wa ruby uko mahenge mambo bulbul shazi huko

Nendeni mkajaribu bahati zenu,acheni kulialia na kukaa mjini

Ova
 
Ilipatikana lini?

Wakati wa mlipuko huko winza, mpwapwa tulikuwepo

Mpaka mawe yakakata

Waliyopata walipata waliyokosa walikosa

Kwa sasa mlio wa ruby uko mahenge mambo bulbul shazi huko

Nendeni mkajaribu bahati zenu,acheni kulialia na kukaa mjini

Ova
I see!
 
Hapo inawezekana jiwe ni la zamani sana. Au kuna mwenye bahati yake amepata jiwe kimya kimya akafanya mishe kimyakimya.


Sehemu pakiwa na mawe yanatoka huwa taarifa zinasambaa kwa sekunde chache nchi nzima hasa kwa wachimbaji wa kuhamahama. Fastafasta unashangaa kuna mafuriko ya watu toka sehemu mbalimbali nchini.
 
Back
Top Bottom