Rubi kutoka Tanzania yavunja rekodi Dubai

LUS0MYA

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
862
1,097
African news wametangaza kupatikana kwa jiwe kubwa la Ruby kama 2.5kg lenye thamani ya dola millioni 120 katika soko huko arabuni...je serikali ina hiyo taarifa? Serikali imepata mapato stahili kutokana na upatikanaji wa madini hayo?wasiwasi unakuja kwa sababu serikali imekuwa na tabia ya kutangaza pale kunapopatikana kiwango kikubwa cha madini kinachovunja rekodi ...waziri wa madini tunahitaji mrejesho.

---

A marvel for the eyes. This is Burj Alhamal, one of the world’s biggest rough ruby from Tanzania.

The magnificent gemstone which weighs 2.8 kilograms was presented to the public for the first time Friday in a Dubaï.

Patrick Bellati, the managing director of the company exposing the record-breaking ruby was happy to finally unveil the stone: "This is a rough Ruby from Tanzania it's 8,400 carats, It's not heated, what I mean by not being heated is not been treated. So it's natural and that's why it's precious. We're going to auction it, but before the auction for the next 30 days, we'll be actually travelling Dubai in different locations where everybody can see it. Because it's important to show that it really exists. You can Google these images, but you're not sure whether they are real or not."

According to minerals experts, the greenish and purplish stone could be auctioned for 120 million dollars.

In Africa, Kenya, Mozambique and Tanzania are one of the main ruby producing countries.

If the gemstone is not affordable for all to buy, visitors can at least capture the stone with their smartphones.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au jamaa alipita nalo kipindi ile cha expo Dubai.

Kipindi kile cha Magufuli wakasema Laiser ni Tajiri wa mchongo ila hili huyu sio tajiri wa mchongo.

Watu wakikuchukia watakutafutia sababu.
 
African news wametangaza kupatikana kwa jiwe kubwa la Ruby kama 2.5kg lenye thamani ya dola millioni 120 katika soko huko arabuni...je serikali ina hiyo taarifa? Serikali imepata mapato stahili kutokana na upatikanaji wa madini hayo?wasiwasi unakuja kwa sababu serikali imekuwa na tabia ya kutangaza pale kunapopatikana kiwango kikubwa cha madini kinachovunja rekodi ...waziri wa madini tunahitaji mrejesho. Record-breaking Tanzanian ruby exposed in Dubaï | Africanews

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili jiwe lilipopatikana, aliyelichimba hakujua thamani yake hivyo akawauzia walanguzi kwa pesa mbuzi. Hivyo jiwe hilo likatoroshwa kwa siri na kuibwa, likaandaliwa fake documents na kuingizwa sokoni. Serikali haijui chochote na haijapata hata senti moja!.
Yaani tumepigwa mazima!.
P
 
A marvel for the eyes. This is Burj Alhamal, one of the world’s biggest rough ruby from Tanzania.

The magnificent gemstone which weighs 2.8 kilograms was presented to the public for the first time Friday in a Dubaï.
Tuliambiwa ile ndege yenye namba za usajili 5H-ONE haieleweki inafanya safari za wapi maana inaonekana kwenye parking zenye mashaka
 
Hili jiwe lilipopatikana, aliyelichimba hakujua thamani yake hivyo akawauzia walanguzi kwa pesa mbuzi. Hivyo jiwe hilo likatoroshwa kwa siri na kuibwa, likaandaliwa fake documents na kuingizwa sokoni. Serikali haijui chochote na haijapata hata senti moja!.
Yaani tumepigwa mazima!.
P
Still bado yapo mengi nchini.Hilo dogo sana kuna wachimbaji walipata la kilo 32.
Wakaliuza milioni mbili Mnunuzi akaenda uza bilioni 26 akawaonea imani waliomuuzia akarudi akawapa milioni 200 kila mmoja walikuwa watatu.
Kuna moja lina tani 2.Lipo kilometers 2 Chini ya ardhi, hili tukilitoa si KILA mtza atapata vx. Sasa kama kilo 2.5 ni pesa hizo kwa hilo la tani 2 tutapata ngapi hapo.
 
😳😳😳😳
 
Sorry I doubt hii taarifa yako kama ni authentic. Nime Google hilo jiwe la Ruby la 32 kg, halipo, hivyo hiyo ni hadithi tuu.

Na hilo jiwe la tani 2, pia nahisi kama ni story tuu, kwasababu what is just 2 km underground compared to it's value, tungeisha lichimba!. Naomba source hizi data.

Tumepigwa kivipi? Mwenye jiwe lake kauza, karidhika. Wewe na serikali mtulie. Jiwe ni mali ya aliyechimba. Nadhani ana haki ya kumuuzia anayetaka.
 
Labda awamu hii watalichimba,awamu ya baba waligomewa .Ngoja nifanye mechanics ya kupata location na geological report toka eneo husika.Mahenge.
Pasco sema tu aupo kwenye gemstone industry haya mawe ya Kg mbona yapo ya kutosha. Sema shida ni kuwapata kina Laizer wa kukubali kuwa wawazi Ili serikali ipate haki yake. Lakini wengi wanayo na upiga kimya pili awajui thamani yake upewa pesa mbuzi wageni uondoka nayo kimya kimya upeleka nchini kwao.
 
Yes, japo ni kweli mwenye jiwe yuko huru kuuza Kwa yeyote, lakini lazima kodi za serikali zilipwe kutokana thamani halisi za madini hayo kwa bei ya soko. Ndio maana tulizuiaga mchanga wa dhahabu kwasababu under declaration.

Hivyo hata sasa japo jiwe lilo sokoni, serikali isipopata uthibitisho hilo jiwe limefikaje Dubai, tunaripoti interpol kuwa jiwe hilo ni mali ya wizi, hakuna mnada wowote utaendelea, hadi mmiliki athibitishe alinunua Kwa Nani, na baada ya mnada tunapigiana hesabu, tunalipwa chetu ndio biashara inaendelea.
P
 
Labda awamu hii watalichimba,awamu ya baba waligomewa .Ngoja nifanye mechanics ya kupata location na geological report toka eneo husika.Mahenge.
Pasco sema tu aupo kwenye gemstone industry haya mawe ya Kg mbona yapo ya kutosha. Sema shida ni kuwapata kina Laizer wa kukubali kuwa wawazi Ili serikali ipate haki yake. Lakini wengi wanayo na upiga kimya pili awajui thamani yake upewa pesa mbuzi wageni uondoka nayo kimya kimya upeleka nchini kwao.
huko mahenge ulanga wamejaa waindonesia na wasrilanka kazi yao kununua hizo ruby... wame wasaidia kuinua uchumi wao binafsi wakazi wa huko... ila hawa kazi yao kulangua na kupeleka sokoni... hakuna soko la madini, na kama kuna utaratibu mzuri sijui... ni hayo tu
 
Still bado yapo mengi nchini.Hilo dogo sana kuna wachimbaji walipata la kilo 32.
Wakaliuza milioni mbili Mnunuzi akaenda uza bilioni 26 akawaonea imani waliomuuzia akarudi akawapa milioni 200 kila mmoja walikuwa watatu.
Kuna moja lina tani 2.Lipo kilometers 2 Chini ya ardhi, hili tukilitoa si KILA mtza atapata vx. Sasa kama kilo 2.5 ni pesa hizo kwa hilo la tani 2 tutapata ngapi hapo.
Kama hii habari ni ya kweli basi mamlaka husika zimeshajua zifanye uhakiki kujiridhisha na hii habari.
 
Sekta ya madini ina pesa Sana na Ina usiri Sana wenye mawe hawataki kujiexposure kwa ishu mbili moja kodi ya serikali pili usalama wao binafsi dhidi ya majambazi.
Maana yake tutaendelea kupigwa sana kwasababu wauzaji na wanunuzi watafanya biashara kimya kimya pasipo serikali kujua na kujikuta wanadhulumiwa na nchi kukosa kodi.

Afadhali hii hoja imefika Bungeni wamesem wanafuatilia na taarifa za awali zinasema mnunuzi wa hilo jiwe ni mtu kutoka Marekani.

Kama kutakuwa na sintofahamu watumie Polisi wa Interpool kufuatilia ili kujua jiwe hilo lilitokaje nje ya nchi pasipo mamlaka husika kujua.
 
Back
Top Bottom