Ruby: Nilikuwa nalala kwenye kibaraza cha Diamond

Namfungulia dunia na bosi wake Kwa kipindi hicho ndo walikuwa watawala WA soko la muziki, walikuwa wanauwezo WA kumpandisha huyu na kumshusha yule. Inawezekana mabinti wengi waliliwa ila hawasemi TU
Sio inawezekana... hao jamaa awacheki na chupi...hakuna celebrities wa kike...ambae hajaliwa na Marehemu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… ukitaka story vizuri muulize Pascal Mayalla amefanya nao kazi anawajua vizuri
 
Ndo maana wasanii wakike Kila wakifanya intavyuu utaskia ukiwa msanii wakike ni ngumu kutoboa, wanaojua ugomvi WA marehemu nitawafungulia Dunia na JDee, nadhani Kuna mengi yatakuwa yamefichwa sio ugomvi WA maslahi TU.
 
Kuna uzi humu alikuwepo south anauza midude kitambo tu.
Hayo yalitokea baada ya kudeportiwa
 
Wote takataka tupu. Mitatoo kwa mswahili wapi na wapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ