Rubik cube

Toto mol

JF-Expert Member
Oct 18, 2022
2,669
4,008
Habari wadau kwema humu, wazima nyote, naomba kujua hiki kitu kinapatika sehemu Gani maduka Gani na bei yake!? Natanguliza shukurani kama hamtajališŸ™
rubiks-cube.jpg
 
Kwenye maduka yanayo uza vitabu na vifaa vya elimu. bei hutofautiana ila vingi vya tz bei ni 3000-5000/=
 
Pia maduka ya toys za watoto...
Uwe tu makini kwenye kununua, kuna zingine zina wahi kuharibika, karatasi ya juu inatoka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom