Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,772
- 25,419
Kenya waliiba wakaifanya yao aisee!Mkuu huyo mwanamke ni askari wa moro anaitwa mwajabu labda kama na huko kenya ni kituo chake cha kazi.
Kenya waliiba wakaifanya yao aisee!Mkuu huyo mwanamke ni askari wa moro anaitwa mwajabu labda kama na huko kenya ni kituo chake cha kazi.
MWANAMKE AU JIKE DUME POLISIHuyo mwenye t shirt ya blue ni Me au Ke?
Mkuu huyo mwanamke ni askari wa moro anaitwa mwajabu labda kama na huko kenya ni kituo chake cha kazi.
UMENIKUMBUSHA MBALI SANA MKUUUnaweza kukuta huyo mtoto kavaa shanga
Nimeshangaa anabisha eti, wakati huyo askari ni wa hapo MoroMkuu huyo mwanamke ni askari wa moro anaitwa mwajabu labda kama na huko kenya ni kituo chake cha kazi.
Hata mimi habari hii kama ina siku tatu nne hivi !!. Sasa hapa naiona tena kama vile mpya, ahh sijui!!Mbona kama hii ishu ilitokea kenya wewe mtu unakuja kutudanganya hapa.....
Ukitaka kujua wewe ni muongo wa kutupwa tuwekee link ya hii habari.....
Hizi picha ume-screenshot kule youtube ndio hii habari ipo na ilitokea Nairobi Kenya kitu kama hicho...
Liers are always liers,sijui kwanini mtu anadanganya just for the sake of it!
Ukipata hiyo link nakununulia sodaInawezekana Kenya waliiba wakaigeuza yao..natafuta link nitakuwekea hapa
Aisee nashukuru sana kwa hii ,nilikuwa sifahamuNa anayevutiwa kimapenzi na watoto wadogo anaitwa pedophile.
Malaya hawezi kuchukuwa buku mbili !!Aibu saaana hii...kakosa malaya wa mkopo kweli..duh!!!
Mbona huu ugonjwa wazungu hawautetei kuwa ni wa kuzaliwa nao kama ulivo ushoga?Ni ugonjwa huo unaitwa pedophilia.
Unaweza kukuta huyo mtoto kavaa shanga
Google usome na utaelewaUnakuwaje huo ugonjwa
Hahaaa , kweli kabisa, lakin hako kabint 2000-5000 kwake ni kubwa sana,Malaya hawezi kuchukuwa buku mbili !!
Malaya gharama sana
Wakati tunavisubiri vikue kumbe semi zishapitaDuh,ni aibu ya mwaka aisee,nako haka kabint darasa la tano kanawajua wanaume?
Source EATVSource GPl shigongo company.
Haziitwi shanga bali wanaziita "Mwendokasi", huyu RTO mstaafu mara ya mwisho alikuwa wapi? na nyie Askari vijana mungu anawaona yaani mzee wenu halafu ex boss wenu mnamfanyia hivyo kweli? kisa eti ...Hapa kazi tu? Mungu anawaona.