RRB Mwanza yaagiza machinga waondolewe barabarani

RRB Mwanza yaagiza machinga waondolewe barabarani

sawa hatujakataaa Wameambiwa watoke kwenye Bara Bara nadhani wano ongelewa hapa sana sana Ni wale wanaopanga Biashara Chini kbsa yani wanasababisha foleni na hatari kubwa sana..Laiti ungewaona wanapofanyia hizo biashara Unaweza simamisha gari ukashuka ukamzibua kOFI...watu wanapanga vitu njiani kbsaaaa halafu wanakaaa hapo hapo Hata upige HONI ya llori hatoki ndio kwanz anapanga nyanya zake...(watolewe bwanaa)

Kuna wale machinga wanaotembeza vitu,wanaobeba vitu vyao mikononi wanatafuta wateja Machinga hao hawana shida ila wenye shida ni hawa Machinga FEKI wavivu kutembea kazi wanaenda kuweka biashara Sehemu hatarishi kbsa halafu kutoka hawataki.

Machingwa wanaotembea wale hawana shida...BAlaaa lipo kwa hawa wapanga vitu barabarani kbsaaaa...BWANA WATOKEEEEE
Kwani wamewaandalia maeneo ya kufanyia biashara ili watoke barabarani.
 
Kwani wamewaandalia maeneo ya kufanyia biashara ili watoke barabarani.
Biashara yako..Faida upate wewe Alafu nikuandalie mimi pakufanyia Biashara?? Wewe fanya biashara popote unapoona ila Usiingie ktk miundombinu kuharibu au ukahatarisha Maisha yako.
 
Mwanza wamezidi pita barabara rwagasole pita lumumba na nyerere road usiseme barabara finyu machinga wamejazana hata uzuri wa nchi hauonekani hata sehemu ya kupita hakuna hivi nchi zingine hawana wamachinga ni tanzania tu wao wanafanyaje
 
Waswahili 2mejawa viburi. Hapo wakitolewa wataanza kulalamika wameonewa.
 
Naona umesahau mh rais alisema wafanye biashara hata kwenye corido za mkurugenzi au mkuu wa mkoa au hata kwenye ubaraza wa askali wakiona ndo wanauza bidhaa zao na wasibughuziwe
Vitambulisho sio vya kufanya biashara hadi barabarani,Ila ni TRA ndio wameambiwa wasiwabughudhi wafanyabiashara wa chini ya MITAJI ya MIL.4 ila kitambulisho hakijasema Mkafanye biashara BARABARANI..Taratibu lazima zifatwe na kuzingatiwa kwa ajili ya usalama wetu na miundombinu yetu wenyewe ambayo itatunufaisha WOTE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom