RPC Kamuhanda na RPC Shilogile wakalia kuti kavu!

Hao makamanda wa morogoro na iringa wanakwenda kuwa wa kuu wa mikowa ambayo baba rizi 1 anataka kuanzisha mikowa mipya
 
Kwa uzoefu wa mambo mengi yaliyopita, sidhani kama hili linawezekana hapa.
 
Serikali ya CCM haina ujanja, njia ya mkato kurudisha imani kwa wananchi ni Kuwafungulia Mashitaka hao Ma RPC wawili na Chigonja
 
Ingekuwa ulaya,bongo usidhan kuna chochote cha kufanyka dhidi yao.Hivi ni nchi gani ulishawahi sikia mwanafunzi anafaulu mtihani wa darasa la saba na kwenda sekondari bila kujua kusoma na kuandka? Nadhani ni tz pekee! Kwe2 mambo yako kinyume na unavyodhan

Mhh! mimi sielewi na hainiingii akilini, asiyeweza kusoma wala kuandika kufaulu! maswali ya kujiuliza, alifanyaje mtihani? aliwezaje kusoma na kujibu maswali kama ajui kusoma? aliwezaje kuandika majibu ilhali ajui kuandika???
kweli nchi ya "Mfalme JUA"...! wataalam wa elimu tupeni mwanga katika hili!!
 
Jamani hao makamanda ni watumwa tu wa amri za wakubwa.....tatizo hapa sio mfumo kristo wala mfumo islamu kama washamba wanavyotaka kuwaminisha watz. Tatizo hapa ni mfumo ccm na ccm-b basi.....tuuondoeni mfumo ccm na ccm-b ndipo nchi itakaposalimika.othewrwise imekula kwetu
 
hawa jamaa wanasababisha sasa tunaanza kuonekana hivi, hii ni post ya jirani yetu mmoja kwenye mtandao mmoja!

Has Tanzania started on the dark journey in pursuit of its lost African sister-states that went that road many years ago? What happened to the Tanzania we all so much admired; the peaceful Tanzania full of people of humility? Has the repressive spirit finally docked on this African hope? God forbid!
And while at it the entire world fraternity must rise up in arms and deserve that the dead journalist be given justice. Since the despicable act was captured on camera it'll not be difficult to know who was involved in this heinous act!
 
tusubiri tuone maana tanzania ninayoifahamu sina imani kama yawezekana kuwajibishwa maana walikuwa wanatekeleza maelezo ya wakubwa
 
Wengine tuliwatahadharisha siku nyingi sana lakini wakadhani ni kama kawaida....When Kings speaks its a decree kila aina ya uumbaji unafuata order if you are to perceive what I mean...People start clapping your holly hands for the King of glory reigns...Elija is not better than me kwani wakati huo mvua haikunyesha na moto ulilamba maji na mawe sasa safari hii itakuwa zaidi ya yale ya Elija kwa Tanzania....I am very serious and no stone shall remain un-burn to the ashes.....

Since the time of John the baptist the Kingdom of God suffereth violence and the violent one exploits.....I made up my mind long time ago when other were waiting for the saviour to come I decided to stand on my position and to do what is right.....With my soft stones and my theory of 'solitons' to make sure all the fisadis are wiped out!

And who are really you by the way?
 
Tanzaniaaaaa kama nawaona mnavyohangaika kitu kidogo tu cha kutafakari juu ya hili ni kujiuliza nini maana ya mtawala na kiongozi..nini maana ya chama tawala na chama cha siasa..ccm ni wakina nani? Viongozi wako wapi na watawala wako wapi?
 
Kumbukeni WALITEULIWA....Sasa kama ilikua kwa utendaji kazi wanaweza kuachishwa ila kama ni rafiki bado nina mashaka. May be kuhamishwa kituo cha kazi.

ni kweli mr unalosema .hakuna uwajibikaji kwa watanzania,hao watahamishwa na kulipwa pesa kibao za uhamisho,haya yote yanawezekana kwisha kama tukiamua kuwatowa hawa magamba,kuna kagamba kanakomaa sasa kanaitwa mwigulu nchemba.anapatkana sijui jimbo gani,
 
Mahakamani au Magereza? Mi nadhani hukumu ziko wazi wanatakiwa kwenda magereza straight away! Ingekuwa China wala wasingechezea rasilimali muda kuendesha kesi za hawa wahuni wenye sare....puuh! puuuh! done.

Kama kuna kitu tungeiga toka Uchina mapema, na ambacho bila shaka tungekiweza kwani hakina "gharama" ni affordable ni namna ya kudili na wahalifu/wanyang'anyi/wauaji/mafisadi walioko serikalini na ktk taasisi za umma.

Tutapambana mpaka haki itendeke, tunajua JK na CCM bila mashinikizo hawatafanya lolote.
 
Kama ni kuti kukalia kuti kavu lingeanzia kwa aliyekuwa Ocd wa Arusha. Baada ya kusimamia mauaji ya raia wema watatu, sasa ameongezewa madaraka na kuwa mnadhimu mkuu wa jeshi la polisi mkoani Arusha.
Maana Chagonja alikuwa kwenye kamati iliyoundwa na IGP labla ndie alimshawishi Igp ampandishe cheo kwa sababu na uhusiano uliopo kati ya wawili wao.
Je? Ripoti ya hiyo kamati iko wapi?
Inakuwa vigumu kuamini utendsji wa polisi kwani watu ni wale wale. Propaganda zile zile, ubadhirifu ule ule. Biashara as usual
 
Tufanye maandamano ya kuwalaani CCM pia kwa kulipelekesha jeshi la polisi na kulishinikiza kuua.
Kikwete na CCM wanabidi wawajibike pia kwa kushindwa kuwadhibiti polisi na kukalia kimya dhuluma na mateso yanayofanywa na polisi kwa raia
 
Jamaaaani!!!

Hivi kweli CCM ndio mnatufanya Tanzania tuonekane MBWIRA KABISA hivi machoni mwa mataifa mengine eti????????????????


hawa jamaa wanasababisha sasa tunaanza kuonekana hivi, hii ni post ya jirani yetu mmoja kwenye mtandao mmoja!

Has Tanzania started on the dark journey in pursuit of its lost African sister-states that went that road many years ago? What happened to the Tanzania we all so much admired; the peaceful Tanzania full of people of humility? Has the repressive spirit finally docked on this African hope? God forbid!
And while at it the entire world fraternity must rise up in arms and deserve that the dead journalist be given justice. Since the despicable act was captured on camera it'll not be difficult to know who was involved in this heinous act!
 
Kamuhanda analindwa na ndugu yake yuko Ikulu nadhani na Shilogile sijui labda analindwa na CCM kwa kuwa yeye ni Mlokole au ni Usalama wa Taifa lakini ni polisi sasa hapa kazi ipo.Kumpeleka mahakamani muuaji means atakwa shahidi kwamba walipewa maelekezo maalumu na hawako tayari tena maana kuna ya Ulimboka hata sasa wanaumia nayo kichwa na hili la Mwangosi litaleta ukweli zaidi maana wamesha anza kuzozana na RCO anaonekana anakili zaidi yeye alikuwa anakataa kuua watu .

Hapo red mkuu ni kweli maana ile siku ya tukio RCO alikuwa amewahi na aalikataza kabisa kutumia nguvu ya maangamizi hadi atakapotoa amri. Alipofika tu huyo mvuta bangi Kamuhando basi akatoa amri ya maangamizi na alimwita askari mmoja akamnong'oneza jambo na ndipo shughuli ya maangamizi ikaanza. Huyo Kamuhanda ni lazma apelekwe mbele ya haki kama kweli hakutumwa!!!! Nasema alikuwa anatekeleza maagizo, uaaaaaaaaa.
 
Hilo ni tatizo wataalamu kutoshika taaluma zao na kushabikia gari la wanasiasa! WATAMTOSA ili wanasiasa wajifagilie kwa wananchi!Vuna ulichopanda mwanangu ili wengine wajifunze!
 
Haya ni maneno ya muleta uzi hakuna chochote hapa.sanasana alicho kifanya hapa ni kuleta uwongo wake nayeye yuko pembeni anaangalia jinsi watu tunavyo hangaika kujadili uwongo wake.
 
sasa wakisha achishwa kazi ndo waliokufa watafufuka??? wanyongwe kabisa iwe fundisho kwa wengine.
 
Back
Top Bottom