RPC Dodoma kadhalilisha Jeshi la Polisi

RPC Dodoma kadhalilisha Jeshi la Polisi

...... hahahahahahhahahahhaa

“Vijana wanapoteza nguvu kazi kwa kuweka kifuani maandishi ya I LOVE YOU ...”
 
Najaribu kui upload video husika inagoma lakini sijajua kwa nini IGP kaamua Jeshi la Polisi liaibishwe na mtu asiye na uelewa kama huyu. Yeye kila siku kuuza sura kwenye vyombo vya habari tena mauzo yenyewe ya aibu.
Jamaa anatumia nguvu kuliko akili
 
Lazima lipingwe kwani halina maana tena. Agizo la kulifuta na usimamizi wake utafanywa na polisi. Leo ni tarehe 09/04 wote walioambiwa "I Love You" kisha kutungishwa mimba na kukimbiwa, wanakutana ofisini kwa The Great RC PCM @ DAB. Ktk mkutano ambao sentensi "I Love You" itapigwa marufuku na kukatazwa kutumika tena.

Bazazi
Mkuu na yenyewe itakuwa live luningani?
 
Jamani elimu ya social science ni sehemu ya mafunzo hasa kwa viongozi. Huyu alipota mafunzo wapi? Ahmed Msangi hawezi kufanya vichesho hivyo.
 
mkuu MGL moja kumbe haa haaaaa.....
nzrui sana ulipita mwaka gani pale asee maana nami nmepita pale kule pande za ulefi kwenye ulanzi, itengule kwenye mademu haa haaaaa na kule wapi isimikinye kanisani...
 
Anatafuta U IGP KWA NGUVU ZOTE "ZIRO " BE CARE UNAKUJA KUPINDULIWA
 
In Tanzania,you are guilty until proved innocent....Kinyume nyume.
And this friggingly crazy reverse is absolutely possible and a reality in the Civil Law Jurisdictions (The Continental Europe) and their colonial empires else where the world over...
 
Mkuu umenikumbusha kazi za fasihi pamoja na ya mwandishi nguli Gervas Zombwe . Na mm nilipiga HKL hapo hapo malangali (MGL) na nlikua naishi Shaban Robert badae nikahamia Chemba-Mavi.

Hata polisi wanalijua hilo!!!!
 
Back
Top Bottom