RPC Dodoma kadhalilisha Jeshi la Polisi

RPC Dodoma kadhalilisha Jeshi la Polisi

Seme ambaye alishakuwa Kigonsera na Lindi secondary au yupi?
Huyu Headmaster ni wa siku nyingi,,, ila baada ya kutoka Malangali alienda Mzumbe high school then akateuliwa kuwa afisa elimu secondary Mbeya City Council,,, mara elimu secondary zilipopelekwa Serikali za mitaa,,,, sijui kama ndio huyo kwa cv hyo
 
Acha kumwita mwenzio bwege jombaa...umewahi kuhudhuria mahakamani hata siku moja!!? Mtuhumiwa anaposomewa hati ya mashtaka huwa inaeleza hivyo..kwamba wew mwmbeki unashtakiwa kuwa mnamo tarehe hiyo muda huo sehem fulan uliiba tv flat screen yenye thaman hiyo mali ya rip faza_nelly kitendo ambacho ni kosa kisheria. Je huwa wanakosea kusema hivyo na pale ni mahakaman tena mbele ya hakimu??? Haijalishi umeiba kwel or hujaiba
ni sawa,lkn mtumiwa huulizwa ni kweli au si kweli? ndo ushaid unaanza kutafutwa,lkn huyu kamanda kashaconclude kabsa
 
Huyu Headmaster ni wa siku nyingi,,, ila baada ya kutoka Malangali alienda Mzumbe high school then akateuliwa kuwa afisa elimu secondary Mbeya City Council,,, mara elimu secondary zilipopelekwa Serikali za mitaa,,,, sijui kama ndio huyo kwa cv hyo
ndo huyo huyo kk,m mwenyewe sikumkuta hapo shulen lkn CV yake ndo hiyo..malangali ilikuwa na mafanikio makubwa enzi zake baada ya kuondoka tu mambo yakabadilika
 
Ndugu yangu nadhani unatakiwa kurudi darasani maana unaonyesha ulivyo uwezo wako mdogo wa kuandika na hata kujieleza kwako(Your too low) aibu kabisa .Hakuna ulichoandika kuhusu huo udhalilishaji ulioupa hiyo heading.
your too low . Fafanua hapo kwanza
 
Ndugu yangu nadhani unatakiwa kurudi darasani maana unaonyesha ulivyo uwezo wako mdogo wa kuandika na hata kujieleza kwako(Your too low) aibu kabisa .Hakuna ulichoandika kuhusu huo udhalilishaji ulioupa hiyo heading.
Ona sasa nawewe unavyochemka. Eti "your too low". Hahahahaha. Mkuu tumia kiswahili tu utaumbuka hapa kuna wasomi wanakuangalia tu
 
Hahahaaa, kuna tofauti kati ya polisi na takataka!!!
 
Doohh,
Kumbe tupo wengi wanaokereka na huyo kamanda wa dodoma,!!!
Halaf inasemekana yeye ndio Handsome Guy katika Familia yao
 
Lazima lipingwe kwani halina maana tena. Agizo la kulifuta na usimamizi wake utafanywa na polisi. Leo ni tarehe 09/04 wote walioambiwa "I Love You" kisha kutungishwa mimba na kukimbiwa, wanakutana ofisini kwa The Great RC PCM @ DAB. Ktk mkutano ambao sentensi "I Love You" itapigwa marufuku na kukatazwa kutumika tena.

Bazazi
 
Mkuu hivi itakuwa ni saa ngp
 
Mmmmh sawa mkuu
 
RPC wa dodoma anapenda sana kuuza sura, ujanani alikuwepo wapi
 
Najaribu kui upload video husika inagoma lakini sijajua kwa nini IGP kaamua Jeshi la Polisi liaibishwe na mtu asiye na uelewa kama huyu. Yeye kila siku kuuza sura kwenye vyombo vya habari tena mauzo yenyewe ya aibu.
 
Eti mbona hujaandika kimakonde,wamakonde wanajua I love you.......utawala huu una vituko
 
Back
Top Bottom