RPC Dodoma kadhalilisha Jeshi la Polisi

RPC Dodoma kadhalilisha Jeshi la Polisi

Ndugu yangu nadhani unatakiwa kurudi darasani maana unaonyesha ulivyo uwezo wako mdogo wa kuandika na hata kujieleza kwako(Your too low) aibu kabisa .Hakuna ulichoandika kuhusu huo udhalilishaji ulioupa hiyo heading.
" Your too low" ndo nini sasa halafu unakosoa elimu ya mwenzio
 
Ndugu yangu nadhani unatakiwa kurudi darasani maana unaonyesha ulivyo uwezo wako mdogo wa kuandika na hata kujieleza kwako(Your too low) aibu kabisa .Hakuna ulichoandika kuhusu huo udhalilishaji ulioupa hiyo heading.

Pumbavu wewe,wapeleke police shule wawe na akili.
 
Ndugu yangu nadhani unatakiwa kurudi darasani maana unaonyesha ulivyo uwezo wako mdogo wa kuandika na hata kujieleza kwako(Your too low) aibu kabisa .Hakuna ulichoandika kuhusu huo udhalilishaji ulioupa hiyo heading.
You are too low sio your too low

Halafu ukajiona bonge la mjanja
 
Asante ex-malangalian.Haswa umeiva na kuthibitisha umetoka ktk chungu kilichokupika vizuri.
Nimepita pale 2009-2011.
I love Malangali.
Thanks school-mate.

Akili na fikra finyu zinaongoza kijiji cha Ihowanza(Tz)
They are the stupid intellectual at the hill.
 
Wasaalam wanabodi,
Moja kwa moja kwenye mada:

Nilipokuwa ADVANCE MALANGALI SEKONDARY (Mafinga Iringa) nilipata kusoma vitabu tofaut tofauti vya historia, baadh vikizungumzia sifa za majeshi.
Gervas zombwe alibainisha sifa za askari police kama ifuatavyo

1. Igronance,( ujinga) askari Polisi haitaji kuwa na elimu kubwa,kwani kufanya hivyo ni kuwafanya wajitambue hivyo kuhoji mambo muhimu.

2. Psycophance(yes yes man) yaan polisi kafundishwa kusema ndio tu kutoka kwa mtu anayemzid cheo.

3, Much energy as opposed to brain( nguvu kubwa kuliko akili....
Zombwe aliandika mi nafupisha tu)

Nini kimenituma kuandika haya?

Nimeyadhitisha katika awamu hii ya utawala, nimeamini kuwa hizo hoja ni za kweli kabsa.

Watu hawa wameonyesha ujinga wa hali ya juu,hasa viongozi wa juu wa watu hawa, Ni viazi,mbumbumbumbumbuuuuuu kabisa mfano
kiongozi wa mkoa wa Polisi (R.P.C)anawakamata watu anaita vyombo vya habari na kuwahukumu.

Yeye ni mahakama? si wote wanaokamatw na jeshi la polisi wana makosa..kesi inaenda mahakamani kusikilizwa na hakimu
hii imenipia taswira na kilichoandikwa na zombwe ni kwel huu ni ujuha wa hali ya juu.

Mimi ni bora nipige debe kuliko kuwa na kazi ya kuwindana na binadamu wenzako kwa manufaa yasiyo ya kwako..

Sijakuelewa vizuri ulivyosema: 'Anahukumu yeye ni mahakama'? Alimhukumu nani na alimpa hukumu gani?

Inawezekana majeshi yetu yana madhaifu mengi. Lakini kukubali amri bila kuhoji siyo umbumbumbu! Huu ni mfumo wa majeshi yote duniani. Na kama mifumo ingeruhusu huko unakoita 'kuhoji', kazi zisingeenda. Kwa mfano mko kwenye battle field unapata order kutoka kwa General ku attack, ku retreat e.t.c, unataka uhoji kwanza?

Ni kweli kuwa ndani ya majeshi kuna uliowaita mbumbumbu. Lakini hali hii inapatikana kwa sekta zote. Kuna mpaka mawaziri ni mazwazwa, achilia mbali ma Engineer, Wahasibu, Madaktari, Walimu,.......! Hiyo haimaanishi kuwa Polisi, Magereza, JWTZ,JKT hakuna watu smart. Wapo tena wengi wazuri kabisa.

Kwa uelewa wangu, RPC hakuwa anahukumu. Alikuwa anatoa taarifa kwa umma kuhusu maovu yanayoendelea kwenye jamii ili watu wachukue tahadhari. Kwa mf uliona yule jamaa tapeli mwenye ID kibao na Stamps tena za Govt Offices? Huyu mtu ni hatari sana ambaye watu inabidi wamfahamu ili asiwalize tena.

Ndiyo maana kwenye majeshi kuna vitengo vya habari. We unadhani zile podium na mic zenye nembo za majeshi husika kazi zake ni nini?

Hata hivyo kuna haja ya viongozi wakubwa wa majeshi kuwa watu wenye uelewa mpana. Wafanye maamuzi baada ya kutafakari kwa kina. Hivyo wawe watu inteligent, diligent, ethical maana maamuzi yao yanaathiri watu wengi.
 
Mtoa maada we ni kiazi sasa pale hukumu gani alio fanya. Hamna hata sehemu moja alio fanya judgement ila alicho fanya yeye ni kuhoji, ni kawaida sana kwa polisi kuhoji na kutoa onyo kisheria wameruhusiwa kutoa onyo either la kimaandishi au la kimazungumzo.
Kilaza mkubwa ww!! Alfu kazi ya polisi ni professional sio km ulivyo andika kwamba yahitaji nguvu, kitengo km Upelelezi, trafiki hizo nguvu unatumiaje. Kilaza ww!
we ni bwege, huon anasema hawa wameiba flat screen, yeye ana uhakika gan ka wameiba,ka wamesingiziwa tu??
 
Asante ex-malangalian.Haswa umeiva na kuthibitisha umetoka ktk chungu kilichokupika vizuri.
Nimepita pale 2009-2011.
I love Malangali.
Thanks school-mate.

Akili na fikra finyu zinaongoza kijiji cha Ihowanza(Tz)
They are the stupid intellectual at the hill.
ahaahaahaaha umekumbuka mbali bro (iyowanza) nilikuwa naenda kule gulion
 
Mkuu kuandika shule na hiyo ID,,,, inakutambulisha mno kumbuka ulikuwa maarufu enzi zile,,,,, ila nafurahi umenikumbusha kitambo bonge la shule yenye mafanikio chini ya Mr Seme. Ameingilia na anaingilia sana kazi zenu huyo ni kweli utaratibu wake haufai
Seme ambaye alishakuwa Kigonsera na Lindi secondary au yupi?
 
Na mambosasa pia anamichezo hiyo,wanapenda sifa hao
 
Wasaalam wanabodi,
Moja kwa moja kwenye mada:

Nilipokuwa ADVANCE MALANGALI SEKONDARY (Mafinga Iringa) nilipata kusoma vitabu tofaut tofauti vya historia, baadh vikizungumzia sifa za majeshi.
Gervas zombwe alibainisha sifa za askari police kama ifuatavyo

1. Igronance,( ujinga) askari Polisi haitaji kuwa na elimu kubwa,kwani kufanya hivyo ni kuwafanya wajitambue hivyo kuhoji mambo muhimu.

2. Psycophance(yes yes man) yaan polisi kafundishwa kusema ndio tu kutoka kwa mtu anayemzid cheo.

3, Much energy as opposed to brain( nguvu kubwa kuliko akili....
Zombwe aliandika mi nafupisha tu)

Nini kimenituma kuandika haya?

Nimeyadhitisha katika awamu hii ya utawala, nimeamini kuwa hizo hoja ni za kweli kabsa.

Watu hawa wameonyesha ujinga wa hali ya juu,hasa viongozi wa juu wa watu hawa, Ni viazi,mbumbumbumbumbuuuuuu kabisa mfano
kiongozi wa mkoa wa Polisi (R.P.C)anawakamata watu anaita vyombo vya habari na kuwahukumu.

Yeye ni mahakama? si wote wanaokamatw na jeshi la polisi wana makosa..kesi inaenda mahakamani kusikilizwa na hakimu
hii imenipia taswira na kilichoandikwa na zombwe ni kwel huu ni ujuha wa hali ya juu.

Mimi ni bora nipige debe kuliko kuwa na kazi ya kuwindana na binadamu wenzako kwa manufaa yasiyo ya kwako..
umeuliza kuwa RPC ni mahakama? naomba nikuulize amewahukumu adhabu gani? yeye amewatuhumu tu na atawapeleka mahakamani wewe kutangazwa kuwa wamekamatwa ni kosa? tuambie chini ya kifungu na sheria ipi? wewe mtoto wa malangali ficha upumbavu wako
 
Alichokipinga ndicho alichokifanya naye pia amechukua jukumu la kuhukumu wakati hana ujuzi wa utoaji wa hukumu!!
 
Nahitaji kupata form za kujiunga na vikundi hivi Kaole arts group,mambo hayo,chem chem arts group au jumba la dhahabu.
 
we ni bwege, huon anasema hawa wameiba flat screen, yeye ana uhakika gan ka wameiba,ka wamesingiziwa tu??
Acha kumwita mwenzio bwege jombaa...umewahi kuhudhuria mahakamani hata siku moja!!? Mtuhumiwa anaposomewa hati ya mashtaka huwa inaeleza hivyo..kwamba wew mwmbeki unashtakiwa kuwa mnamo tarehe hiyo muda huo sehem fulan uliiba tv flat screen yenye thaman hiyo mali ya rip faza_nelly kitendo ambacho ni kosa kisheria. Je huwa wanakosea kusema hivyo na pale ni mahakaman tena mbele ya hakimu??? Haijalishi umeiba kwel or hujaiba
 
Back
Top Bottom