Mi nadhani hana shida ya kiuandishi alichoandika kimeeleweka na kama hujaelewa basi we we ndio mwenye tatizo. Kumbuka hapa hayupo mwenye mtihani wa fasihi au ameandaa notes za undergraduates! Achani kucomplicate tujikite mwenye mada!! Mimi namsupport mtoa bandiko 100%. Jeshi letu lina matatizo ya kutokujua majukumu yake, nilimuona Hugo jamaa akimuhoji nabii Tito, nikajiuliza the same question. Hivi police imekuwa mahakama siku hizi?Ndugu yangu nadhani unatakiwa kurudi darasani maana unaonyesha ulivyo uwezo wako mdogo wa kuandika na hata kujieleza kwako(Your too low) aibu kabisa .Hakuna ulichoandika kuhusu huo udhalilishaji ulioupa hiyo heading.
MUANGALIE KUANZIA DAKIKA YA 7
Sidhan km alikuwa ktk suala la essay competition hapa, nadhan ujumbe wake umefika na ameeleweka vema.Ndugu yangu nadhani unatakiwa kurudi darasani maana unaonyesha ulivyo uwezo wako mdogo wa kuandika na hata kujieleza kwako(Your too low) aibu kabisa .Hakuna ulichoandika kuhusu huo udhalilishaji ulioupa hiyo heading.
Your=you areNdugu yangu nadhani unatakiwa kurudi darasani maana unaonyesha ulivyo uwezo wako mdogo wa kuandika na hata kujieleza kwako(Your too low) aibu kabisa .Hakuna ulichoandika kuhusu huo udhalilishaji ulioupa hiyo heading.
Ha haa. Mimi nafurahiaga jinsi anavyowahoji wahalifu utadhani yeye ni mwandishi wa habari.
..uhamiaji na sio uwamiaji..Inabidi uwamiaji wuoj uraia wake
Wewe ndo unakosoa wenzio???Ndugu yangu nadhani unatakiwa kurudi darasani maana unaonyesha ulivyo uwezo wako mdogo wa kuandika na hata kujieleza kwako(Your too low) aibu kabisa .Hakuna ulichoandika kuhusu huo udhalilishaji ulioupa hiyo heading.