Royal Tour ft Mama Samia: Wanaopinga wasome makala hii

Licha ya nguvu za kikatiba anazomiliki Rais wetu, bado anapaswa kuelewa kuwa ni vyema akaishi katika "best practices" kama ilivyokuwa katika nchi nyingine zenye uongozi makini. Tanzania "is not an exceptional case" ni lazima tuangalie viwango vya kimataifa katika kuenenda kwa taasisi iliyopo ya urais.
 
Mkuu naomba utambue kuwa ni aina gani ya "skill" inapaswa kutumika pale unapokuwa upo katika "specific level of management" juu ya rasilimali zilizopo chini ya mtu ikijumuisha "human resources". "Positioning" ni suala muhimu sana ili kusimamia matokeo chanya.

Ni kwamba imetokea mapungufu makubwa ya kumuona Rais wetu kuwa ni "semi god" kutokana na nguvu alizokuwanazo kupitia katiba yetu iliyopo sasa. Kinyago tunakichonga wenyewe wakati wa uchaguzi, lakini mungu mtu pindi ashikapo madaraka anakuwa mtu mwingine kabisa licha ya uwepo wa makosa yake yaliyo dhahiri ya kiuongozi.
Endeleea...
 
Licha ya nguvu za kikatiba anazomiliki Rais wetu, bado anapaswa kuelewa kuwa ni vyema akaishi katika "best practices" kama ilivyokuwa katika nchi nyingine zenye uongozi makini. Tanzania "is not an exceptional case" ni lazima tuangalie viwango vya kimataifa katika kuenenda kwa taasisi iliyopo ya urais.
Mkuu hapa chini ninakuwekea mifano ya mataifa yaliyotumia mbinu ya Royal tour kuukuza utalii wao- siyo madogo

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu and King Abdallah of Jordan are two of heads of state who previously starred in Greenberg's series; Kagame is the first from this continent.

Greenberg said that tourism went up almost 20 percent in Jordan after his “Royal Tour” with King Abdullah II aired, and 10% in Mexico, Peru and Jamaica after filming in those countries.
 
Huo ndoo ukweli mkuu,kwa hali hii maendeleo tutaendelea kuyasoma kwenye vitabu na kuyaonaa kwenye TV kwa nchi za wenzetu .Haiwezekani nchi inakosa vipaumbele na malengo mahususu yakutufikisha tunako pataka.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
naona unatumia TECNO KA7O- hivi inatengenezwa wapi hapa Tanzania
 
Point namba mbili - Hao wanaotegemewa kuja kutalii wanasikia na wanajua kuwa Tanzania bado kuna sintofahamu ya chanjo ya corona je watahimizana kuja kwenye covid risk country ?
Habari ya sitafahamu ya chanjo iko kila mahali isipokuwa mbinguni tu.
 
1. Rwanda vivutio vya utalii ni aina na wajihi wa watu walopo hapo (Tutsi, Hutu & Watwa), eneo dogo, utawala wa kifalme uliohamishiwa kuwa utawala wa nchi, na mauaji ya kimbari
2. Utalii wa Israel ni kiimani, miundo mbinu iliyotumika na mitume pamoja na nabii Issa au Yesu kuwepo hadi sasa na kingine ni kubadili jangwa kuwa la kijani kwa kuhamisha udongo kutoka maeneo yenye udongo wenye rutuba kisha kuendesha kilimo kikubwa kuliko mataifa mengine ya kiarabu ambayo yako eneo moja la kijiogrofia na Israel (recreational)
3.Utalii wa Tanzania (Bara na Visiwani) ni wa vitu vya asili (mafuvu ya binadamu wa kale kuvumbuliwa huko Ngorongoro-Olduvai Gorge, makabila zaidi ya 123 bila kuwepo hata moja kutumia nguvu ya wingi kutawala nchi kama ilivyotokea Rwanda kisa cha mauaji ya rais Juvenal Habyarimana mwaka 1994 yakifuatiwa na mauji ya kimbari, mbuga za asili za wanyama na mimea, mito, maziwa na fukwe kongwe za bahari, miji mikongwe kwa historia ya utawala wa kijerumani, waarabu, himaya za kitemi kwa makabila mbalimbali, madini kama Tanzanite iliyogunduliwa na Mtanzania (mzee Ngoma) huko Mererani Manyarak Almasi huko Shinyanga, Dhahabu huko Mwanza, Geita, Shinyanga, Mara, Singida, Tabora na Morogoro, madini ya chuma, makaa ya mawe, madini ya ulanga, madini ya bati, madini ya nikeli, ajali ya meli MV Bukoba mwaka 1996 huko ziwa Viktoria, njia za misafara ya watumwa huko Kigoma, Ngome za kiutawala za kitemi huko Iringa-Mkwawa, Tabora-Isike, Mirambo, Shinyanga, Kilimanjaro-Mangi, Tanga-Kimweri, Kagera-Rumanyika, Ruvuma-Songea, Morogoro-Kingalu, Kigoma-Mwami Riyami wa Bayungu au Heru juu, nk
 
Back
Top Bottom