"Kukuza sekta za huduma hususan utalii ili kutumia fursa zilizopo kikamilifu na kuongeza mchango wake katika uchumi wa Taifa. (Uk.14)"KUKUZA UTALII
F. Kutengeneza ajira zisizopungua 7,000,000 (milioni saba) katika sekta
rasmi na isiyo rasmi kwa ajili ya vijana:-
(i) Kuchochea ukuaji wa uchumi, hususan katika sekta ya viwanda vinavyotumia malighafi za kilimo, mifugo, uvuvi, madini, maliasili na sekta ya huduma za kiuchumi pamoja na utalii;
(ii) Kuwawezesha vijana kushiriki katika shughuli za ujasiriamali,
ikiwemo kuwapatia mafunzo na kuwaunganisha na taasisi na
asasi za utoaji mikopo yenye riba na masharti nafuu;
(iii) Kuwahamasisha na kuwawezesha vijana kushiriki kikamilifu
katika utamaduni, michezo na sanaa kwa ajili ya afya bora na
burudani na pia kuongeza fursa za ajira na kipato; na
(iv) Kuhakikisha kuwa miradi mikubwa ya kimkakati inaajiri
vijana wengi zaidi wa Kitanzania.
UKURASA WA 8
(xi) Kukuza sekta za huduma hususan utalii ili kutumia fursa
zilizopo kikamilifu na kuongeza mchango wake katika uchumi
wa Taifa. ( UKURASA WA 14)
Unawashwa sana mkuuHaipingwi bali ni muhimu hiyo tour ikisha kamilika mahesabu yake ya shushwe ijulikane itagharimu billioni ngapi? Hii baadaye itasaidia kuiona value for money ya huu mradi.
Unawashwa sana mkuu
Mkuu, ukitaka kula vizuri lazima ukubali gharama. Huwezi kuwa unaacha pesa ya matembele na ugali wa matamba ukitegemea kula pilau na kuku.Haipingwi bali ni muhimu hiyo tour ikisha kamilika mahesabu yake ya shushwe ijulikane itagharimu billioni ngapi? Hii baadaye itasaidia kuiona value for money ya huu mradi.
Mkuu, ukitaka kula vizuri lazima ukubali gharama. Huwezi kuwa unaacha pesa ya matembele na ugali wa matamba ukitegemea kula pilau na kuku.
Sometimes tunatakiwa kuwa 'risk takers'.
Jordan ni nchi ya kifalme ndio maana wana "Royal", mimi nauliza hapa kwetu hiyo "royal" ni ya nini? Au maana yake ni kumpa mtu "royal treatement"?Hilo ni jina tu
Jordan: The Royal Tour (2002 TV Movie)
Plot
Showing all 1 items
Jump to:
- Summaries (1)
Summaries
- Join His Majesty King Abdullah II bin Al-Hussein on an eye-opening journey through one of the most exotic countries in the Middle East. From the craggy peaks of Wadi Rum to the depths of the Red Sea, discover Jordan's magnificent scuba diving, explore the beauty of Petra, walk the Roman ruins of Jerash and come face to face with a Bedouin Camel Guard. In all, a remarkable assortment of treasures for you to uncover.
PointNi mradi mzuri kwa Marketing utalii, Ila asafishe nyumba kwanza Tz hatuna ugaidi.
MKUU SOMA HIZZOJordan ni nchi ya kifalme ndio maana wana "Royal", mimi nauliza hapa kwetu hiyo "royal" ni ya nini? Au maana yake ni kumpa mtu "royal treatement"?
Greenberg said that tourism went up almost 20 percent in Jordan after his “Royal Tour” with King Abdullah II aired, and 10% in Mexico, Peru and Jamaica after filming in those countries.Viongozi wa hii nchi hawana vipaumbele kabisa , nchi Ina matatizo chungu mbovu rais anazungukazunguka for nothing
Sasa kukuza utalii siyo jukumu la rais? KumbuKa utalii ndicho chanzo namba moja cha kuingiza fedha za kigeni halafu rais anayejali akipuuze KWELI?"Kukuza sekta za huduma hususan utalii ili kutumia fursa zilizopo kikamilifu na kuongeza mchango wake katika uchumi wa Taifa. (Uk.14)"
Ndiyo! Imetajwa hivyo katika ilani, lakini utekelezaji wa wake ni lazima Mheshimiwa mwenyewe ndiye aende "front line" ama hili ni jukumu la wizara yenye dhamana ya utalii kwa kushirikiana na wizara ya mambo ya nje.
Urais ni taasisi yenye majumu makubwa sana kiuendeshaji. Tunategemea Rais atumie zaidi "abstract skills" zaidi ya "administrative & technical skills" katika suala kama vile ambavyo inaonekana yupo "field" akifanya.
Matumizi ya "administrative & technical skills" ni jukumu la wizara na wataalamu wake kuhakikisha linatekelezwa kwa ukamilifu na umakini mkubwa chini ya maelekezo ya ofisi ya Rais. Rais ni lazima ahakikishe yale yote anayoyaelekeza yanafanyika kupitia kwa wale aliowaamini na kuwapa majukumu hayo. Si sahihi kwa yeye kwenda mwenyewe "field" kufanya kazi za wasaaidizi wake.
Sasa nimeelewa.... hii ni show kama zilivyokuwa na kina Anthony Bourdain(RIP)MKUU SOMA HIZZO
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu and King Abdallah of Jordan are two of heads of state who previously starred in Greenberg's series; Kagame is the first from this continent.
Greenberg said that tourism went up almost 20 percent in Jordan after his “Royal Tour” with King Abdullah II aired, and 10% in Mexico, Peru and Jamaica after filming in those countries.
SPOTTED! Netanyahu reading 'The Jerusalem Post' during filming of 'Israel: The Royal Tour'
The Israeli Ministry of Tourism anticipated that the film, hosted by Peter Greenberg, will lure an additional 200,000 tourists to Israel.www.jpost.com
Mkuu umeua- waamue tu kutoelewaSasa nimeelewa.... hii ni show kama zilivyokuwa na kina Anthony Bourdain(RIP)
Mimi ni mtazamaji sana wa hizi mambo..... ila nilikuwa sijawahi kuzioa hizi Royal Tours.. pengine kwa sababu huwa napenda kuangalia non official films.Mkuu umeua- waamue tu kutoelewa
In death, as in life, Anthony Bourdain brought us closer together.
On his award-winning series, "Parts Unknown," Bourdain brought the world home to CNN viewers. Through the simple act of sharing meals, he showcased both the extraordinary diversity of cultures and cuisines, yet how much we all have in common.
Mhuri na si mhuli. Eboooo!!!!wenyeviti wa mitaa wapo- ukitaka mkopo watakusainia ili mradi uwalipe hela ya mhuli na meza
Mkuu naomba utambue kuwa ni aina gani ya "skill" inapaswa kutumika pale unapokuwa upo katika "specific level of management" juu ya rasilimali zilizopo chini ya mtu ikijumuisha "human resources". "Positioning" ni suala muhimu sana ili kusimamia matokeo chanya.Sasa kukuza utalii siyo jukumu la rais? KumbuKa utalii ndicho chanzo namba moja cha kuingiza fedha za kigeni halafu rais anayejali akipuuze KWELI?
Amekaimisha mkuu. Amesema pale bomang'ombe urais ameuweka pembeni kwa muda.Akiwa location, anaendelea na kazi au amekaimisha mpaka atakapomaliza kutumia hizo tozo.
Hahahah mhuri wa meza tena..wenyeviti wa mitaa wapo- ukitaka mkopo watakusainia ili mradi uwalipe hela ya mhuli na meza