Round ya 2 tcu bonge la dili

enoc

Member
Aug 11, 2012
86
5
Jaman haka kampango cha round ya 2 katawanufaisha wanao mlk vyuo vya privet mana wao ndo watapata wateja weng na some of watoto w mama ntilie nkuambulia non-priority facuty
 
elezea zaidi
 
Kiukweli hizi post zenu za TCU mnazozileta hapa jamvini zisizo na kichwa wala miguu zimeanza kuboa,ebu tujaribu kuweka vitu serious kidogo ambavyo hata kuchangia itakua rahisi,kwa mfano mkuu hapa hiyo post yako mi sijaielewa na sijui nichangie nini?.....NI MTAZAMO TU!
 
Namansha kwamba kama hutakua umechaguliwa na htakuhusa 2nd round htakua vgum kupata chuo cha government na ukpata bac itakua non-priorit t wat m mng
 
Kaka kote kote sema 2 science kdogo mana coz za afya ya mazngea hazna mkopo labda 1 ya ardh
 
Back
Top Bottom