Roughly 90% ya wanaume hawana confidence mbele ya wanawake!

Roughly 90% ya wanaume hawana confidence mbele ya wanawake!

Huu ni utafiti wa kweli, unaohusisha nchi hii ya TZ tu. Wanaume wengi karibu wote wa TZ wana confidence kwa wanaume wenzao tu, kwa akina dada wana sunder.

Nilipokuwa o level, nakumbuka wale wanaume wote waliokuwa vinara wa kuongea ongea na kuchekesha, waliburuzwa vibaya sana na akina dada kwenye debate.

Midahalo yote iliyohusisha wanaume na wanawake, 98% zote wanawake walishinda tena kwa kishindo, aisee wanaume walikuwa wanachapika vibaya sana.

Ipo hivi: wanaume wengi ikiwemo wa humu jamvini hawana ujasiri wa kuchuana kwa hoja 'man to woman' mbele ya kadamnasi ya watu, hata wale wanaojifanya humu ni alpha males hawafui dafu kwenye hiyo show ya man to woman contest.

Hapa kuna ya kutafakari mno, imagine ofisini ulitokea mdahalo wa hoja uliohusisha wanaume na wanawake, huwezi kuamini wadada walikuwa wakiongea kwa kujiamini with an impressive flow of points.

Hata enzi zile nilipokuwa chuo, kwenye presentations wadada walikuwa wanajiamini mno na nakiri kwamba waliwaburuza sana wakaka. Yaani mdada anakwenda mbele ana flow materials na analitawala jukwaa.

Shida ni nini? Kwa nini tumefika huku kote?
Yaani wadada wanajiamini kuliko wakaka? Wanaume wengi ni keyboard warriors, ukiwaleta kwenye 'man to woman' battle [Blmbele za watu[/B], wanapoteana vibaya mno.

Mifano ni mingi sana. Hili siyo la kuliangalia juu juu tu, wanaume mnafeli wapi? Binafsi nashukuru Mungu ninajiamini na kujikubali, ninamudu majibizano ya hoja na wanawake mbele za kadamnasi iwe kwenye semina au event yoyote.

Daaah! Mambo siyo mambo! Au ulaji wa ugali kwa muda mrefu unadumaza kujiamini, akili na words' flow ya wanaume wa kitanzania?

Ugali upigwe vita?

Natafakari tu, ila kwa kweli wanaume tujitathmini(hasa hao 98% ambao hawana confidence mbele za akina dada, ni aibu kubwa).
Ni kweli wanaume wengi hawajiamini hata chembe. Ndio maana wanachukia sana mwanamke alimezidi kwa chochote na watachukua hatua yeyote ili kumkandamiza na kumteketeza.
 
Nilivoanza kusoma mpk nafika katikati ya maelezo nikajiuliza huyu dada analenga nn hasa, kutahamaki ni mwanaume.. nahisi ungeanza kuweka maelezo ya jinsia yako kule juu ndo ukaanza kuflow vizuri
Kikubwa ujumbe umefika! Thats what!
 
Mimi sijakuelewa hata hoja yako ime-base kwenye nini!! Halafu unajipa promo kuwa wewe una hiyo confidence.
Kama wewe umejipima ukajiona unayo, why mtu mwingine asijione anayo.
Mimi naamini kila mmoja anajiamini kwa like akijuacho.
Soma tena uelewe!
 
Mimi kama siyo hizi technolojia za kisasa za mawasiliano kama vile facebook,badoo,whatsapp na kadhalika nisingekaa niionje papuchi milele kwani huwa nawapanga kila kitu huko huko remotely hadi style zitakozotumika siku tukikutana halafu tukishakutana huwa hakuna tena haja ya kuongea neno hata moja bali ni kutabasamu tu kinafiki.Mungu bariki sana wazungu na technolojia zao hizi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee wa chura, kumbe Domo zege???

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kumaanisha wanawake ndio wana-confidence zaidi wawapo mbele ya wanaume?

Sijui kama unaelewa unachokisema hapo,

Swali dogo tuu ambalo itakufungua macho kuona utafiti ulioufanya jnamajibu ya uongo,

Kati ya wanaume na wanawake, wapi wengi wanaowatongoza wenzao?

Kumbuka ili utongoze lazima uwe na Confidence ya kutosha.
Alafu utajua ulichoongea ni uongo.
Mkuu utafiti wangu siyo formal, ila una matter na ni kweli. Mifano nimeitoa hapo. Siyo confidence za mwanaume kuongea/kutongoza mwanamke, hapana. Ni confidence ya;

1. Kuongea mbele ya kadamnasi hususani kuongea kwa kujiamini bila kuchanganya hoja kutokana na woga! Katika hili wanawake nilishuhudia wakifanya vizuri zaidi hasa vyuoni, shuleni na hata kwenye semina za kikazi na 'events' za kuburudisha.

2. Kwenye semina(hata kwenye presentation vyuoni) mwanaume akiulizwa swali na mwanamke nimeshuhudia wengi hubabaika sana. Kumbuka mnakuwa mbele ya kadamnasi(wafanyakazi au wanachuo au wanafunzi wenzenu).

Hizo ni miongoni mwa sehemu nilizotumia katika utafiti wangu huu usio formal.
 
Huu ni utafiti wa kweli, unaohusisha nchi hii ya TZ tu. Wanaume wengi karibu wote wa TZ wana confidence kwa wanaume wenzao tu, kwa akina dada wana sunder.

Nilipokuwa o level, nakumbuka wale wanaume wote waliokuwa vinara wa kuongea ongea na kuchekesha, waliburuzwa vibaya sana na akina dada kwenye debate.

Midahalo yote iliyohusisha wanaume na wanawake, 98% zote wanawake walishinda tena kwa kishindo, aisee wanaume walikuwa wanachapika vibaya sana.

Ipo hivi: wanaume wengi ikiwemo wa humu jamvini hawana ujasiri wa kuchuana kwa hoja 'man to woman' mbele ya kadamnasi ya watu, hata wale wanaojifanya humu ni alpha males hawafui dafu kwenye hiyo show ya man to woman contest.

Hapa kuna ya kutafakari mno, imagine ofisini ulitokea mdahalo wa hoja uliohusisha wanaume na wanawake, huwezi kuamini wadada walikuwa wakiongea kwa kujiamini with an impressive flow of points.

Hata enzi zile nilipokuwa chuo, kwenye presentations wadada walikuwa wanajiamini mno na nakiri kwamba waliwaburuza sana wakaka. Yaani mdada anakwenda mbele ana flow materials na analitawala jukwaa.

Shida ni nini? Kwa nini tumefika huku kote?
Yaani wadada wanajiamini kuliko wakaka? Wanaume wengi ni keyboard warriors, ukiwaleta kwenye 'man to woman' battle [Blmbele za watu[/B], wanapoteana vibaya mno.

Mifano ni mingi sana. Hili siyo la kuliangalia juu juu tu, wanaume mnafeli wapi? Binafsi nashukuru Mungu ninajiamini na kujikubali, ninamudu majibizano ya hoja na wanawake mbele za kadamnasi iwe kwenye semina au event yoyote.

Daaah! Mambo siyo mambo! Au ulaji wa ugali kwa muda mrefu unadumaza kujiamini, akili na words' flow ya wanaume wa kitanzania?

Ugali upigwe vita?

Natafakari tu, ila kwa kweli wanaume tujitathmini(hasa hao 98% ambao hawana confidence mbele za akina dada, ni aibu kubwa).
Hao wanaume walikua taipu YAKO wote au? Sasa hiyo sio issue ya confidence ujue hilo
 
Back
Top Bottom