Roughly 90% ya wanaume hawana confidence mbele ya wanawake!

Sio kuchuana tu mkuu...hata kufikiri tunafikiri tofauti sana..mnakwaza mmekua mnalia liaaa...mimi nabaki nashangaa kizazi gani hiki...
Mfano! Angalia nyuzi zote za jana %kubwa wameanzisha wanaume wanalia lia kuhusu wanawake....hakuna unaume kabisa nowdys!
Why!
Ptu
Mother fvckr kabisa madume ya hivyo, acha yafe. Ongezeni volume
 
Huu ni utafiti wa kweli, unaohusisha nchi hii ya TZ tu. Wanaume wengi karibu wote wa TZ wana confidence kwa wanaume wenzao tu, kwa akina dada wana sunder.

Nilipokuwa o level, nakumbuka wale wanaume wote waliokuwa vinara wa kuongea ongea na kuchekesha, waliburuzwa vibaya sana na akina dada kwenye debate.

Midahalo yote iliyohusisha wanaume na wanawake, 98% zote wanawake walishinda tena kwa kishindo, aisee wanaume walikuwa wanachapika vibaya sana.

Ipo hivi: wanaume wengi ikiwemo wa humu jamvini hawana ujasiri wa kuchuana kwa hoja 'man to woman' mbele ya kadamnasi ya watu, hata wale wanaojifanya humu ni alpha males hawafui dafu kwenye hiyo show ya man to woman contest.

Hapa kuna ya kutafakari mno, imagine ofisini ulitokea mdahalo wa hoja uliohusisha wanaume na wanawake, huwezi kuamini wadada walikuwa wakiongea kwa kujiamini with an impressive flow of points.

Hata enzi zile nilipokuwa chuo, kwenye presentations wadada walikuwa wanajiamini mno na nakiri kwamba waliwaburuza sana wakaka. Yaani mdada anakwenda mbele ana flow materials na analitawala jukwaa.

Shida ni nini? Kwa nini tumefika huku kote?
Yaani wadada wanajiamini kuliko wakaka? Wanaume wengi ni keyboard warriors, ukiwaleta kwenye 'man to woman' battle [Blmbele za watu[/B], wanapoteana vibaya mno.

Mifano ni mingi sana. Hili siyo la kuliangalia juu juu tu, wanaume mnafeli wapi? Binafsi nashukuru Mungu ninajiamini na kujikubali, ninamudu majibizano ya hoja na wanawake mbele za kadamnasi iwe kwenye semina au event yoyote.

Daaah! Mambo siyo mambo! Au ulaji wa ugali kwa muda mrefu unadumaza kujiamini, akili na words' flow ya wanaume wa kitanzania?

Ugali upigwe vita?

Natafakari tu, ila kwa kweli wanaume tujitathmini(hasa hao 98% ambao hawana confidence mbele za akina dada, ni aibu kubwa).
Ulimakafu
 
Mimi nitoe kwenye kundi hilo kote nilikopita na nilipo ni mkali kivyote vyote
 
tuwaulize wanaume wa chama cha mapinduzi, kwani wamekumbwa na nini?? mbona wanakuwa kama dada zetu siku hizi 😎 😎 . ile sio nidhamu tena ule ni uoga na ushamba wa kumuogopa mama. Wanaume wale wamekosa sana ujasiri sijui shida ni nini??. Wanaume tuliobakia tuamke jamani tulitetee taifa😛😛😛😛
 
Huu ni utafiti wa kweli, unaohusisha nchi hii ya TZ tu. Wanaume wengi karibu wote wa TZ wana confidence kwa wanaume wenzao tu, kwa akina dada wana sunder.

Nilipokuwa o level, nakumbuka wale wanaume wote waliokuwa vinara wa kuongea ongea na kuchekesha, waliburuzwa vibaya sana na akina dada kwenye debate.

Midahalo yote iliyohusisha wanaume na wanawake, 98% zote wanawake walishinda tena kwa kishindo, aisee wanaume walikuwa wanachapika vibaya sana.

Ipo hivi: wanaume wengi ikiwemo wa humu jamvini hawana ujasiri wa kuchuana kwa hoja 'man to woman' mbele ya kadamnasi ya watu, hata wale wanaojifanya humu ni alpha males hawafui dafu kwenye hiyo show ya man to woman contest.

Hapa kuna ya kutafakari mno, imagine ofisini ulitokea mdahalo wa hoja uliohusisha wanaume na wanawake, huwezi kuamini wadada walikuwa wakiongea kwa kujiamini with an impressive flow of points.

Hata enzi zile nilipokuwa chuo, kwenye presentations wadada walikuwa wanajiamini mno na nakiri kwamba waliwaburuza sana wakaka. Yaani mdada anakwenda mbele ana flow materials na analitawala jukwaa.

Shida ni nini? Kwa nini tumefika huku kote?
Yaani wadada wanajiamini kuliko wakaka? Wanaume wengi ni keyboard warriors, ukiwaleta kwenye 'man to woman' battle [Blmbele za watu[/B], wanapoteana vibaya mno.

Mifano ni mingi sana. Hili siyo la kuliangalia juu juu tu, wanaume mnafeli wapi? Binafsi nashukuru Mungu ninajiamini na kujikubali, ninamudu majibizano ya hoja na wanawake mbele za kadamnasi iwe kwenye semina au event yoyote.

Daaah! Mambo siyo mambo! Au ulaji wa ugali kwa muda mrefu unadumaza kujiamini, akili na words' flow ya wanaume wa kitanzania?

Ugali upigwe vita?

Natafakari tu, ila kwa kweli wanaume tujitathmini(hasa hao 98% ambao hawana confidence mbele za akina dada, ni aibu kubwa).
Nilivoanza kusoma mpk nafika katikati ya maelezo nikajiuliza huyu dada analenga nn hasa, kutahamaki ni mwanaume.. nahisi ungeanza kuweka maelezo ya jinsia yako kule juu ndo ukaanza kuflow vizuri
 
Huu ni utafiti wa kweli, unaohusisha nchi hii ya TZ tu. Wanaume wengi karibu wote wa TZ wana confidence kwa wanaume wenzao tu, kwa akina dada wana sunder.

Nilipokuwa o level, nakumbuka wale wanaume wote waliokuwa vinara wa kuongea ongea na kuchekesha, waliburuzwa vibaya sana na akina dada kwenye debate.

Midahalo yote iliyohusisha wanaume na wanawake, 98% zote wanawake walishinda tena kwa kishindo, aisee wanaume walikuwa wanachapika vibaya sana.

Ipo hivi: wanaume wengi ikiwemo wa humu jamvini hawana ujasiri wa kuchuana kwa hoja 'man to woman' mbele ya kadamnasi ya watu, hata wale wanaojifanya humu ni alpha males hawafui dafu kwenye hiyo show ya man to woman contest.

Hapa kuna ya kutafakari mno, imagine ofisini ulitokea mdahalo wa hoja uliohusisha wanaume na wanawake, huwezi kuamini wadada walikuwa wakiongea kwa kujiamini with an impressive flow of points.

Hata enzi zile nilipokuwa chuo, kwenye presentations wadada walikuwa wanajiamini mno na nakiri kwamba waliwaburuza sana wakaka. Yaani mdada anakwenda mbele ana flow materials na analitawala jukwaa.

Shida ni nini? Kwa nini tumefika huku kote?
Yaani wadada wanajiamini kuliko wakaka? Wanaume wengi ni keyboard warriors, ukiwaleta kwenye 'man to woman' battle [Blmbele za watu[/B], wanapoteana vibaya mno.

Mifano ni mingi sana. Hili siyo la kuliangalia juu juu tu, wanaume mnafeli wapi? Binafsi nashukuru Mungu ninajiamini na kujikubali, ninamudu majibizano ya hoja na wanawake mbele za kadamnasi iwe kwenye semina au event yoyote.

Daaah! Mambo siyo mambo! Au ulaji wa ugali kwa muda mrefu unadumaza kujiamini, akili na words' flow ya wanaume wa kitanzania?

Ugali upigwe vita?

Natafakari tu, ila kwa kweli wanaume tujitathmini(hasa hao 98% ambao hawana confidence mbele za akina dada, ni aibu kubwa).
Mimi sijakuelewa hata hoja yako ime-base kwenye nini!! Halafu unajipa promo kuwa wewe una hiyo confidence.
Kama wewe umejipima ukajiona unayo, why mtu mwingine asijione anayo.
Mimi naamini kila mmoja anajiamini kwa like akijuacho.
 
Mimi nadhani labda unalo wewe hilo tatizo wengine kozi tulizosoma ni za kujenga hoja..kumzidi mwenzio kwaio wengine tunawabalasa vilivyo hao wanawake tena kwa ngeli iliosimama vizuri....
Hata Mimi naona tatizo analo yeye hata kama anajikakamua na kujipendelea kuwa yeye anayo.
Kwani vyuo/shule hazijafunguliwa?
 
Mtoa mada umeniangusha,
Haiingii akilini Mada nzito Kama Hii
Tena inayohusu Wanaume Watu wazima wa JF

Afu mifano hai unatuletea ya vivulana vyanafunzi vya shule, sijui chuo, Sijui debate,Sijui nn...

Yaani totally Mifano inahusu mambo ya kitoto kitoto ambayo uliowatolea mifano hata Hawajui kuitafuta Pesa Wala majukumu ya kiume na kifamilia hawana[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyewe mwanafunzi ndiyo maana analeta mifano ya kishule shule.
 
Huu ni utafiti wa kweli, unaohusisha nchi hii ya TZ tu. Wanaume wengi karibu wote wa TZ wana confidence kwa wanaume wenzao tu, kwa akina dada wana sunder.

Nilipokuwa o level, nakumbuka wale wanaume wote waliokuwa vinara wa kuongea ongea na kuchekesha, waliburuzwa vibaya sana na akina dada kwenye debate.

Midahalo yote iliyohusisha wanaume na wanawake, 98% zote wanawake walishinda tena kwa kishindo, aisee wanaume walikuwa wanachapika vibaya sana.

Ipo hivi: wanaume wengi ikiwemo wa humu jamvini hawana ujasiri wa kuchuana kwa hoja 'man to woman' mbele ya kadamnasi ya watu, hata wale wanaojifanya humu ni alpha males hawafui dafu kwenye hiyo show ya man to woman contest.

Hapa kuna ya kutafakari mno, imagine ofisini ulitokea mdahalo wa hoja uliohusisha wanaume na wanawake, huwezi kuamini wadada walikuwa wakiongea kwa kujiamini with an impressive flow of points.

Hata enzi zile nilipokuwa chuo, kwenye presentations wadada walikuwa wanajiamini mno na nakiri kwamba waliwaburuza sana wakaka. Yaani mdada anakwenda mbele ana flow materials na analitawala jukwaa.

Shida ni nini? Kwa nini tumefika huku kote?
Yaani wadada wanajiamini kuliko wakaka? Wanaume wengi ni keyboard warriors, ukiwaleta kwenye 'man to woman' battle [Blmbele za watu[/B], wanapoteana vibaya mno.

Mifano ni mingi sana. Hili siyo la kuliangalia juu juu tu, wanaume mnafeli wapi? Binafsi nashukuru Mungu ninajiamini na kujikubali, ninamudu majibizano ya hoja na wanawake mbele za kadamnasi iwe kwenye semina au event yoyote.

Daaah! Mambo siyo mambo! Au ulaji wa ugali kwa muda mrefu unadumaza kujiamini, akili na words' flow ya wanaume wa kitanzania?

Ugali upigwe vita?

Natafakari tu, ila kwa kweli wanaume tujitathmini(hasa hao 98% ambao hawana confidence mbele za akina dada, ni aibu kubwa).

Kumaanisha wanawake ndio wana-confidence zaidi wawapo mbele ya wanaume?

Sijui kama unaelewa unachokisema hapo,

Swali dogo tuu ambalo itakufungua macho kuona utafiti ulioufanya jnamajibu ya uongo,

Kati ya wanaume na wanawake, wapi wengi wanaowatongoza wenzao?

Kumbuka ili utongoze lazima uwe na Confidence ya kutosha.
Alafu utajua ulichoongea ni uongo.
 
Mtoa mada umeniangusha,
Haiingii akilini Mada nzito Kama Hii
Tena inayohusu Wanaume Watu wazima wa JF

Afu mifano hai unatuletea ya vivulana vyanafunzi vya shule, sijui chuo, Sijui debate,Sijui nn...

Yaani totally Mifano inahusu mambo ya kitoto kitoto ambayo uliowatolea mifano hata Hawajui kuitafuta Pesa Wala majukumu ya kiume na kifamilia hawana[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app

Mtoa hoja bado uwezo wake wa kujenga hoja ni mdogo.
Au Akili yake inauwezo wa kuchambua mambo madogo madogo.
Au pengine hajui hata maana ya CONFIDENCE.

Nimemuuliza hapo Kwa kutumia mifano hiyohiyo ya mambo ya Mapenzi,
Kati ya wanaume na wanawake, Nani wengi wanawatongoza wenzao,
Kumbuka kutongoza lazima uwe na ushawishi na CONFIDENCE.

Aulizwe pia wakati mwanamke anapopita kwenye kijiwe cha wanaume labda bodaboda nini kinatokea?
Alafu mwanaume anapopita kwenye kijiwe cha Wanawake nini kinatokea?
Je wanawake wanaujasiri wa kumzingua Mwanaume akipita kijiweni kwao?

Vipi chuo
Mahakamani,
Au askari wa kike
Au mwalimu wa kike anachukuliwaje na wanafunzi wakiume?
 
Back
Top Bottom