AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,316
- 22,845
Hapo tu basi? Ushafeli mkuuTZ>Dar
Hapo tu basi? Ushafeli mkuuTZ>Dar
Mkuu mbona mifano ya watu wazima ipo hapo?Mtoa mada umeniangusha,
Haiingii akilini Mada nzito Kama Hii
Tena inayohusu Wanaume Watu wazima wa JF
Afu mifano hai unatuletea ya vivulana vyanafunzi vya shule, sijui chuo, Sijui debate,Sijui nn...
Yaani totally Mifano inahusu mambo ya kitoto kitoto ambayo uliowatolea mifano hata Hawajui kuitafuta Pesa Wala majukumu ya kiume na kifamilia hawana[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanatokea haya
Dar yenyewe ni kubwa mno, kuna mchanganyiko wa watu wengi. Achilia mbali katika maisha halisi. Kubali kataa wanaume wengi hawana ubavu wa kuchuana live na wasichana mbele ya kadamnasi kwenye serious issuesHapo tu basi? Ushafeli mkuu
Eti ni kweliKikao chemaaaa!!!
Wanaume >above 18Dar yenyewe ni kubwa mno, kuna mchanganyiko wa watu wengi. Achilia mbali katika maisha halisi. Kubali kataa wanaume wengi hawana ubavu wa kuchuana live na wasichana mbele ya kadamnasi kwenye serious issues
Get outKikao chemaaaa!!!
Ujumbe umefika, na wa kuelewa wameelewa, hicho ndicho cha muhimu, hizo zingine mbwembwe tu.[emoji23]Wanaume >above 18
Wasichana
Ushafeli mpaka hapo..
Hao 2% ni mimi na baba yangu tu wewe upo kwenye hao 98%Huu ni utafiti wa kweli, unaohusisha nchi hii ya TZ tu. Wanaume wengi karibu wote wa TZ wana confidence kwa wanaume wenzao tu, kwa akina dada wana sunder.
Nilipokuwa o level, nakumbuka wale wanaume wote waliokuwa vinara wa kuongea ongea na kuchekesha, waliburuzwa vibaya sana na akina dada kwenye debate.
Midahalo yote iliyohusisha wanaume na wanawake, 98% zote wanawake walishinda tena kwa kishindo, aisee wanaume walikuwa wanachapika vibaya sana.
Ipo hivi: wanaume wengi ikiwemo wa humu jamvini hawana ujasiri wa kuchuana kwa hoja 'man to woman' mbele ya kadamnasi ya watu, hata wale wanaojifanya humu ni alpha males hawafui dafu kwenye hiyo show ya man to woman contest.
Hapa kuna ya kutafakari mno, imagine ofisini ulitokea mdahalo wa hoja uliohusisha wanaume na wanawake, huwezi kuamini wadada walikuwa wakiongea kwa kujiamini with an impressive flow of points.
Hata enzi zile nilipokuwa chuo, kwenye presentations wadada walikuwa wanajiamini mno na nakiri kwamba waliwaburuza sana wakaka. Yaani mdada anakwenda mbele ana flow materials na analitawala jukwaa.
Shida ni nini? Kwa nini tumefika huku kote?
Yaani wadada wanajiamini kuliko wakaka? Wanaume wengi ni keyboard warriors, ukiwaleta kwenye 'man to woman' battle [Blmbele za watu[/B], wanapoteana vibaya mno.
Mifano ni mingi sana. Hili siyo la kuliangalia juu juu tu, wanaume mnafeli wapi? Binafsi nashukuru Mungu ninajiamini na kujikubali, ninamudu majibizano ya hoja na wanawake mbele za kadamnasi iwe kwenye semina au event yoyote.
Daaah! Mambo siyo mambo! Au ulaji wa ugali kwa muda mrefu unadumaza kujiamini, akili na words' flow ya wanaume wa kitanzania?
Ugali upigwe vita?
Natafakari tu, ila kwa kweli wanaume tujitathmini(hasa hao 98% ambao hawana confidence mbele za akina dada, ni aibu kubwa).
Hujaelewa mada. Mbona una akili ndogo sana?mimi ninachojua mwanaume anayejiamini habishani wala hana muda wa kujieleza zana ili watu wa approver kile anachotoka kufanya bali yeye mda wamarumbano ya hoja hukaa kimya na kuongea maneno machache tu ambayo atayatimiza hata ufoke vipi mara nyingi wanaume wenye kaliba hiyo wakiwa kwenye marumbano na kufokeana huonekana wakiwa wameinamisha vichwa tena kama ndio unamkela unafoka foka huzuia hata eye contact wewe hapo utamuona bwege mtupeni
sasa subiri kwenye maamuzi utaona kama atafanya kinyume alichisema tangu mwanzo hapo ndio utajua kuongea sana ni tabia za kike wala sio kuonesha kujiamini Bali ninamna ya mtu kucontrol maongezi baina (verbally bullying)
Sasa si ufe tu?Kweli kabisa.....
[emoji23] wacha weeeHao 2% ni mimi na baba yangu tu wewe upo kwenye hao 98%
Huu ni utafiti wa kweli, unaohusisha nchi hii ya TZ tu. Wanaume wengi karibu wote wa TZ wana confidence kwa wanaume wenzao tu, kwa akina dada wana sunder.
Nilipokuwa o level, nakumbuka wale wanaume wote waliokuwa vinara wa kuongea ongea na kuchekesha, waliburuzwa vibaya sana na akina dada kwenye debate.
Midahalo yote iliyohusisha wanaume na wanawake, 98% zote wanawake walishinda tena kwa kishindo, aisee wanaume walikuwa wanachapika vibaya sana.
Ipo hivi: wanaume wengi ikiwemo wa humu jamvini hawana ujasiri wa kuchuana kwa hoja 'man to woman' mbele ya kadamnasi ya watu, hata wale wanaojifanya humu ni alpha males hawafui dafu kwenye hiyo show ya man to woman contest.
Hapa kuna ya kutafakari mno, imagine ofisini ulitokea mdahalo wa hoja uliohusisha wanaume na wanawake, huwezi kuamini wadada walikuwa wakiongea kwa kujiamini with an impressive flow of points.
Hata enzi zile nilipokuwa chuo, kwenye presentations wadada walikuwa wanajiamini mno na nakiri kwamba waliwaburuza sana wakaka. Yaani mdada anakwenda mbele ana flow materials na analitawala jukwaa.
Shida ni nini? Kwa nini tumefika huku kote?
Yaani wadada wanajiamini kuliko wakaka? Wanaume wengi ni keyboard warriors, ukiwaleta kwenye 'man to woman' battle [Blmbele za watu[/B], wanapoteana vibaya mno.
Mifano ni mingi sana. Hili siyo la kuliangalia juu juu tu, wanaume mnafeli wapi? Binafsi nashukuru Mungu ninajiamini na kujikubali, ninamudu majibizano ya hoja na wanawake mbele za kadamnasi iwe kwenye semina au event yoyote.
Daaah! Mambo siyo mambo! Au ulaji wa ugali kwa muda mrefu unadumaza kujiamini, akili na words' flow ya wanaume wa kitanzania?
Ugali upigwe vita?
Natafakari tu, ila kwa kweli wanaume tujitathmini(hasa hao 98% ambao hawana confidence mbele za akina dada, ni aibu kubwa).
Sio kuchuana tu mkuu...hata kufikiri tunafikiri tofauti sana..mnakwaza mmekua mnalia liaaa...mimi nabaki nashangaa kizazi gani hiki...Dar yenyewe ni kubwa mno, kuna mchanganyiko wa watu wengi. Achilia mbali katika maisha halisi. Kubali kataa wanaume wengi hawana ubavu wa kuchuana live na wasichana mbele ya kadamnasi kwenye serious issues
Acha makasiriko, jiue tu.Angalia nyuzi za humu kama ziko 20 bas 18 za kulia lia kuhusu wanawake mm nashangaa bado why this!..hamjiamini kabisa alwys negative about womens! Shame