AsanteSo long as umetimiza azma yako ya kukimbia Marathon you are done. Hivi vienyeji vyetu tuvizoee tu ushingae waandaaji hawana hata forum ya kukupata feedback "Business as usual". Otherwise ku sacrifice Henkel kumi kwa kuweta history ni utamaduni mzuri pia.
It was fun hasa unapokimbia km 21 halafu aliekimbia 42km anakuja kukupita!Hilo la Medali ni kwel kabisa watu weng sana wamekosa next time wajirekebishe nafikr wanatakiwa kuweka sawa na idad ya watu wanaokimbia hzo distance or less ila sio kwa ratio ya watu elf 10 kwa medali 1500 otherwise it was very nice and Fun.
Ha ha ha ha ha yule wa 42km i believed ni mwanariadha mzoefu kwa kwel kuna muda pumzi ilikua kama inapiga alarm ya low battery vileIt was fun hasa unapokimbia km 21 halafu aliekimbia 42km anakuja kukupita!
Wale waliotembea 9km na 5km ndio nafikir wanatakiwa kukuassist kwa hiloHuu uzi nikajua utasukumizwa na zile picha za back view...
Duh wale jamaa utafikiri wanatumia petrol.....mimi sikuishiwa pumzi ila miguu ilikufa haitaki hata kuruka pavement!Ha ha ha ha ha yule wa 42km i believed ni mwanariadha mzoefu kwa kwel kuna muda pumzi ilikua kama inapiga alarm ya low battery vile
Enzi zangu hzo hzo km ningezikata kama upepoKuna mmoja alishiriki 21km alimaliza wa 20. Amepata medali nafikiri kwa sababu aliwahi
Ila Pia jua kali lilichangia kuchosha watu lami ilikua kama unakanyaga moto vile next time wahakikishe kuanza iwe mapema kabla ya jua...Duh wale jamaa utafikiri wanatumia petrol.....mimi sikuishiwa pumzi ila miguu ilikufa haitaki hata kuruka pavement!
Na mm piaHongera kwa kushiriki. Na Mimi mwakani nitajitosa Kili Marathon inshallah. Ngoja nianze kupunguza nyama
Ila Pia jua kali lilichangia kuchosha watu lami ilikua kama unakanyaga moto vile next time wahakikishe kuanza iwe mapema kabla ya jua...
Kuna jamaa yangu alinambia goti lilipiga stop engine hakutaka shida akaachia njian
Enzi zangu hzo hzo km ningezikata kama upepokiwango nw days kiwango kimedrop ila nikiendaga field natembeaga sana....
Ova
Anza mazoezi hata mie ngoja nianze maandaliziHongera kwa kushiriki. Na Mimi mwakani nitajitosa Kili Marathon inshallah. Ngoja nianze kupunguza nyama
Lazima kidrop kwa makitu yale
Mfano nkiendaga mlima usambara kutembea kutoka msambiazi mpk masange ni km 14 alafu hakuna tambarare ni kupanda ....hapo bia lazima zipungue mwiliniHongera kwa kushiriki. Na Mimi mwakani nitajitosa Kili Marathon inshallah. Ngoja nianze kupunguza nyama
Ngoja nimwambie mwenyekiti tuunde timu yetu itafaa tuanza mazoezi tuingie marathon mwakani. mtu chake atakuwa golikipa
Ukinikuta uwanjani na cheza mpira hutaamini beki moja matata sana Sema mtungi lazima!
Ila wengine shuguli zetu zoezi tosha
Ova
Naanza kidogo kidogo..Anza mazoezi hata mie ngoja nianze maandalizi
Km 14 kupanda na kushuka milima sio jambo dogo etiiMfano nkiendaga mlima usambara kutembea kutoka msambiazi mpk masange ni km 14 alafu hakuna tambarare ni kupanda ....hapo bia lazima zipungue mwilini
Nishapiga go n return Sema huko Hali ya hewa inaruhusu!
Ova