Mpenda Kwao
Senior Member
- Apr 29, 2008
- 175
- 18
Unayosema wewe ni kufikirika mimi naongelea analysis za theory ilio maarufu sana, sina haja ya kukuambia ni ipi, fanya homework yako. Sina haja ya ku assume kama utakavyo kwani hiyo itakuwa ni assumption. Mwambie aweke picha yake aliosimama na mtu mwingine yeyote halafu tuithibishe niliyoyasema, simjui hanijui lakini maandiko yake nimeyachambua na kufikia conclusion kuwa huyu ni mtu mfupi sana na anasura mbaya sana kwa hiyo watu wote warefu na wenye sura za kuvutia kama Rostam, Kikwete, kwake huwa ni maadui wa kufikirika na isitoshe wakiwa na mafanikio.
Jamaa anakutisha kimafumbo?Ninaamini wengi tunaowazungumzia wamo humu personally,wapambe wao ni wachache sana.Wengi ni wao wenyewe wanakuja huku kulinda ugali by any means neccessary.duh..!!! yamekuwa hayo tena?
Atakuwa demu,mwanaume gani anayeshupalia upupu kama huo,eti mfupi.Who cares?Mbona Ben Mkapa,Ali Mwinyi nk ni wafupi?Kama ingekuwa kigezo hata Bush asingekuwa rais wa USA.Huyu mtu anamchukia MKJJ haswa.Inaelekea harakati zake zimewagusa penyewe.Mhh...unaonesha upo so obsessed na vimo na rangi na sura za watu...ironically wanaume. Saikolojia inaniambia mengi sana kuhusu wewe. Sitaki kusema..
Kitu pekee ambacho naweza kumpongeza na kumshukuru Rostam kwa uamuzi wake wa kujiuzulu ni kuwa angalau sasa tumebakiwa na mtu mmoja Bungeni ambaye ana nguvu kuliko mwanasiasa mwingine yeyote nchini na ambaye natumaini naye atafuata mkumbo wa kuachia ngazi na huyo atafanya kweli kwa maslahi ya Taifa. Hapana, siyo Lowassa.
Unayosema wewe ni kufikirika mimi naongelea analysis za theory ilio maarufu sana, sina haja ya kukuambia ni ipi, fanya homework yako. Sina haja ya ku assume kama utakavyo kwani hiyo itakuwa ni assumption. Mwambie aweke picha yake aliosimama na mtu mwingine yeyote halafu tuithibishe niliyoyasema, simjui hanijui lakini maandiko yake nimeyachambua na kufikia conclusion kuwa huyu ni mtu mfupi sana na anasura mbaya sana kwa hiyo watu wote warefu na wenye sura za kuvutia kama Rostam, Kikwete, kwake huwa ni maadui wa kufikirika na isitoshe wakiwa na mafanikio.
Nadhani wanaoshukuru kujiuzulu kwa Rostamu ubunge mantiki yao ni kuwa ilikuwa hatari sana kwa maslahi ya taifa kuendelea kuwa na mtu kama Rostam kwenye chombo muhimu kitaifa kama bunge. Katika hilo haijalishi amejiuzulu kwa nia njema au kwa maslahi binafsi lakini kuona jamaa aisye na huruma lakini mwenye uchu na fedha kama yule akiwa bado tu na mamlaka ya kuinfluence sheria za nchi, huku akiwa na access na viongozi wakuu wa kiserikali yaani tunakosa amani.
Tusipoangalia RA anaweza kuwa na nguvu zaidi sasa hivi kuliko wakati akiwa Mbunge.
Tusipoangalia RA anaweza kuwa na nguvu zaidi sasa hivi kuliko wakati akiwa Mbunge.
Ana uhuru wa kufanya chochote bila watu kumsema kala pesa bomu za wabunge.
I hope ameendeleza jimbo lake vizuri jamani
[/COLOR]<br />
Hapo kwenye red, wewe ni jinsia gani? Na je umefaidika na nini kwa Rostam?