mkuu wanaendeshaje nchi wakati unaona nao wanalilia.can not to any thing kwa wezi na mafisadi,sasa waendelee ili iweje.ni bora Mara elfu watanzania kuchagua jiwe kuliko kuendelea na ccm.For your information:MAFISADI WaKIGUSWA NCHI ITATiKISIKA-waziri Mkuu Pinda ccm governmentKumbe bado hamjajipanga mnataka mjipange mbele ya safari?sasa tulieni walio jipanga waendeshe hii nchi
Tunaotaka mabadiliko ya kweli tunaamini yangekuja bila kukumbatia mafisadi.
Soma treads zangu za awali
Mkuu jambazi hukamatwa na jambazi mwenzie AMA moja kwa moja au kwa kuwatonya police.hivyo Lowasa atatusaidia kuwaangamiza mafisadi wengine ccm kwa mtindo ule ule wa jambazi kuwamiminia risasi wenzake baada ya kudhurumiana au kuwatonya policekweli? hivi tuajengaje hoja dhidi ya ufisadi sasa?
Get CCM out first, mikakati mingine tutajipanga mbele ya safari, CCM out first, hicho ndio kipaumbele.
ni kweli Mkuu,ukitaka kuua mti unang'oa mizizi si kukata matawi.mwasisi wa wizi na ufisadi nchi hii ni ccm,ukiondoa ccm umeondoa ufisadi na kulindana TanzaniaSisi tunachojali ni kulitoa dudumizi ccm kwanza alafu mengine baadaye,hivi nyoka akiingia nyumbani kwako kitu cha kwanza ni kumuua alafu baada ya purukushani ya kuua nyoka akili ikitulia ndiyo unarudi kupanga vitu vilivyovurugika
Hivi kaka wale wanaotusaidia kuiba Kura bado wapo kwetu ccmUkisoma comment za jf, unaweza amini ukawa ni wapinzani wa kweli but nenda kwa wapiga kura, ben saa8+mchambuzi ndo wanaujua ukweli wa kilichowapata
UKAWA hata wakisimamisha mbwa nampigia kura. Nimeichoka CCM.
mkuu wanaendeshaje nchi wakati unaona nao wanalilia.can not to any thing kwa wezi na mafisadi,sasa waendelee ili iweje.ni bora Mara elfu watanzania kuchagua jiwe kuliko kuendelea na ccm.For your information:MAFISADI WaKIGUSWA NCHI ITATiKISIKA-waziri Mkuu Pinda ccm government
yes yaani think big start small.Hii inaitwa starting point...! Hata mbuyu ulianza kama mchicha
no tunawahitaji watu wenye uwezo wa kubadirisha mfumo huu wa utawala ulioshindwa na si madiktetaTunamhitaji mtu dictator wa wastani. Lowasa anaweza.
Get CCM out first, mikakati mingine tutajipanga mbele ya safari, CCM out first, hicho ndio kipaumbele.
Fedha gani hzo hebu weka ushahidi mumekua mkitumia hiki kisingizio cha fedha kwa baadhi ya watu. Wananchi wanajua magamba ndo wezi wazulumati wa nchiTatizo fedha imeshaanza kufanya kazi, tulimshambulia Lowasa CCM, tunamshambulia UKAWA na kokote atakaokwenda kutaka urais. Mimi naamini CDM tungeshinda bila EL. Sasa tumejipaka kinyesi
Kenya ilikuwa hivyohivyo lakini sasa wanasonga mbele, wanadevelop saana, hivi miaka yote hiyo unanang'ania sisiemu na wafuasi wake wa Ict wazalendo wanaoridisha maendeleo nyuma kwa kusaini mikataba mibovu. Acha habari yako tusonge mbele Ukawa hoyeeee
soma tena post yangu naamini hujaielewaJifunze kufanya mabadiliko ya dhati,hacha woga eti wakiguswa nchi haitawaliki!!