The game is now on.
Get CCM out first, mikakati mingine tutajipanga mbele ya safari, CCM out first, hicho ndio kipaumbele.
Kumbuka Richmonds = Dowans = Rostam, tahadhari ni kurudisha mfumo uleule kupitia kwetu, hivi why kusiwe na kura ya maoni tujue nani zaidi Lowasa au Slaa?Kwa hiyo sasa single ya Richmond imesahaulika ghafla !! Walikuwa wanafanya hayo kwa sababu ya mfumo uliokuwa unawalinda. Hakuna usimamzi mzuri wa watu kama hao, kwa mfumo wenu mnawaogopa kwa sababu ndo wafadhili wa chama.
huwa nasikia raha sana ninapo ona/soma thread za kutia huruma toka kwa mabuku 7.
Tatizo fedha imeshaanza kufanya kazi, tulimshambulia Lowasa CCM, tunamshambulia UKAWA na kokote atakaokwenda kutaka urais. Mimi naamini CDM tungeshinda bila EL. Sasa tumejipaka kinyesisikio la kufa ilisiki dawa yaani wewe ataa Lowasa alivyo sema richmond anaye husika ni ngazi ya juu.bado ujaelewe !!?? Aise wewe hufai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi .na ataa kama una mke au mume atakuwa analiwa nje ya ndoa na ataausiweze kuhisi.sijui unapata wapi ujasiri huu .akili ndogo kuwaletea akili kubwa upuuzi. Wako hapa jf .
Bado una kiwewe wewe.. Nenda kajimwagie maji kichwan..
Jiamini kaka
Get CCM out first, mikakati mingine tutajipanga mbele ya safari, CCM out first, hicho ndio kipaumbele.
CCM bado ina chance kubwa zaidi ya kuendelea kutawala. Upinzani ujiandae kwa kupata wabunge wengi zaidi Ili check and balance iwepo kwa ajili ya ustawi wa nchi
Viongozi waliompigia simu mbowe kumshauri asimpokee lowassa sijui watakuwa na hali gani muda huu!!