Rostam na Lowassa, msaidieni Meshack wa Channel 10!

kuna channel ten na tv1 na zote mmiliki si rostam wala lowasa fuatilieni wamiliki wa hizi tv station kwa sasa.
 
Tulishuhudia mnagawa pesa kuanzia ndani mpaka nje, misikitini mpaka makanisani, kwa maaskofu mpaka mashekh n.k. Huyu ni mfanyakazi na mtangazaji wa Channel 10 ambayo inamilikiwa na Rostam ambaye ni rafiki wa Lowassa, si mwingine, ni Meshack Nzowa.

Nampa sana pole kwa kuumwa Nzowa lakini nawakumbusha matajiri wake, mahodari wa kutoa, wamsaidie kiasi cha pesa kinachohitajika ili aweze kwenda kutibiwa nje ya nchi, msijifanye hamna pesa ama hamuelewi yaliyomkuta!

Msaidieni ama sivyo hii ni aibu kubwa kwenu nyie wawili, hauwezi ukampenda Mungu usiyemwona na aliye mbali na wewe halafu ukaacha kumsaidia mtu aliye karibu yako sana.

Mbona hausomeki?
 
Tv One Ndiyo Channel One? Acha UPOPOMA Na Siku Nyingine Usipende KUKURUPUKA Kwani NITAKUCHANA " Live ".
Zombie katika ubora wake.Eti nawe una mama wa kiroho.Ivi nyie ccm mlioko humu mbona akili zenu za mavi mavi,mliokotwa wapi?harafu unalipwa kwa huu ushuzi.Chama kinakata pumzi watu wake nao akili zao ziko ICU.
 
Kutoa in hiari ya MTU. Sio ofisi zote wanaotoa huduma za matibabu labda Mimi namtibu binti anayenisaidia kazi nyumbani. Otherwise in Rehema ya mungu upate bosi akutibu. Au iwekwe sheria basi na sisi tufaidi. Maana ukishapokea ujira wako ni juu yako na matumizi yake sio habari ya nikiumwa nukamfuate Manji anitibie. Au Mengi anitibia na Lowassa anaingiaje kwenye urafiki was mtu na matibabu ya staff wake????! Hapo umekera....
 
Tulishuhudia mnagawa pesa kuanzia ndani mpaka nje, misikitini mpaka makanisani, kwa maaskofu mpaka mashekh n.k. Huyu ni mfanyakazi na mtangazaji wa Channel 10 ambayo inamilikiwa na Rostam ambaye ni rafiki wa Lowassa, si mwingine, ni Meshack Nzowa.

Nampa sana pole kwa kuumwa Nzowa lakini nawakumbusha matajiri wake, mahodari wa kutoa, wamsaidie kiasi cha pesa kinachohitajika ili aweze kwenda kutibiwa nje ya nchi, msijifanye hamna pesa ama hamuelewi yaliyomkuta!

Msaidieni ama sivyo hii ni aibu kubwa kwenu nyie wawili, hauwezi ukampenda Mungu usiyemwona na aliye mbali na wewe halafu ukaacha kumsaidia mtu aliye karibu yako sana.

Mmh umeropoka mno hv hujishtukii!?
 
hadhiaki afya ya mtu ila yeye anaomba hao matajiri waweze msaidia afu jua kuwa huyo ni kweli ni staff wa chanel ten.

Sio staff wa channel One kwa sasa. Hadi anapata ajali alikuwa akifanya kazi TV1.
 
Tulishuhudia mnagawa pesa kuanzia ndani mpaka nje, misikitini mpaka makanisani, kwa maaskofu mpaka mashekh n.k. Huyu ni mfanyakazi na mtangazaji wa Channel 10 ambayo inamilikiwa na Rostam ambaye ni rafiki wa Lowassa, si mwingine, ni Meshack Nzowa.

Nampa sana pole kwa kuumwa Nzowa lakini nawakumbusha matajiri wake, mahodari wa kutoa, wamsaidie kiasi cha pesa kinachohitajika ili aweze kwenda kutibiwa nje ya nchi, msijifanye hamna pesa ama hamuelewi yaliyomkuta!

Msaidieni ama sivyo hii ni aibu kubwa kwenu nyie wawili, hauwezi ukampenda Mungu usiyemwona na aliye mbali na wewe halafu ukaacha kumsaidia mtu aliye karibu yako sana.
Hivi TV1 ina uhusiano wowote na chanel 10 na Rostam pia??? Maana jamaa alikuwa mfanyakazi wa TV1 mpaka anapata ajali na sio channel 10.
 
hadhiaki afya ya mtu ila yeye anaomba hao matajiri waweze msaidia afu jua kuwa huyo ni kweli ni staff wa chanel ten.

Mkuu matajiri Tanzania wapo hao wawili tuu aliowataja si vyema kufanya utani katika swala la ugonjwa wa mtu..mm nimeona mwenyewe anaomba msaada kwa Watanzania huyo anakuja kutuambia wakina lowasa ni watanazania wangapi wanapelekwa india bila hao aliowataja..
 
Hii ni dhihaka ya wazi kwa mtu ambae ana matatizo..hii si sawa kabisa.

ila kumbuka hujafa hujaumbika
 
Huyu jamaa kaamkia viroba vya wap? Maana ana povuka!

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
tulishuhudia mnagawa pesa kuanzia ndani mpaka nje, misikitini mpaka makanisani, kwa maaskofu mpaka mashekh n.k. Huyu ni mfanyakazi na mtangazaji wa channel 10 ambayo inamilikiwa na rostam ambaye ni rafiki wa lowassa, si mwingine, ni meshack nzowa.

Nampa sana pole kwa kuumwa nzowa lakini nawakumbusha matajiri wake, mahodari wa kutoa, wamsaidie kiasi cha pesa kinachohitajika ili aweze kwenda kutibiwa nje ya nchi, msijifanye hamna pesa ama hamuelewi yaliyomkuta!

Msaidieni ama sivyo hii ni aibu kubwa kwenu nyie wawili, hauwezi ukampenda mungu usiyemwona na aliye mbali na wewe halafu ukaacha kumsaidia mtu aliye karibu yako sana.

kutoa ni moyo na sio utajiri.....
 
Ninadhani angekuwa ametenda ipasavyo kama angewaomba wagombea wote wa urais kumchangia. Hasa Magufuri anaetumia fedha nyingi kuwalipa wasanii wasio na tija yeyote katika kampeni zake.
 
Tulishuhudia mnagawa pesa kuanzia ndani mpaka nje, misikitini mpaka makanisani, kwa maaskofu mpaka mashekh n.k. Huyu ni mfanyakazi na mtangazaji wa Channel 10 ambayo inamilikiwa na Rostam ambaye ni rafiki wa Lowassa, si mwingine, ni Meshack Nzowa.

Nampa sana pole kwa kuumwa Nzowa lakini nawakumbusha matajiri wake, mahodari wa kutoa, wamsaidie kiasi cha pesa kinachohitajika ili aweze kwenda kutibiwa nje ya nchi, msijifanye hamna pesa ama hamuelewi yaliyomkuta!

Msaidieni ama sivyo hii ni aibu kubwa kwenu nyie wawili, hauwezi ukampenda Mungu usiyemwona na aliye mbali na wewe halafu ukaacha kumsaidia mtu aliye karibu yako sana.

Wewe umemtolea shilingi ngapi? Liondoe kwanza boriti la jicho lako ndipo ukalisafishe jicho la nduguyo! Kutoa ni moyo siyo utajiri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom