Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,555
Tulishuhudia mnagawa pesa kuanzia ndani mpaka nje, misikitini mpaka makanisani, kwa maaskofu mpaka mashekh n.k. Huyu ni mfanyakazi na mtangazaji wa Channel 10 ambayo inamilikiwa na Rostam ambaye ni rafiki wa Lowassa, si mwingine, ni Meshack Nzowa.
Nampa sana pole kwa kuumwa Nzowa lakini nawakumbusha matajiri wake, mahodari wa kutoa, wamsaidie kiasi cha pesa kinachohitajika ili aweze kwenda kutibiwa nje ya nchi, msijifanye hamna pesa ama hamuelewi yaliyomkuta!
Msaidieni ama sivyo hii ni aibu kubwa kwenu nyie wawili, hauwezi ukampenda Mungu usiyemwona na aliye mbali na wewe halafu ukaacha kumsaidia mtu aliye karibu yako sana.