Rostam na Lowassa, msaidieni Meshack wa Channel 10!

Rostam na Lowassa, msaidieni Meshack wa Channel 10!

Rostam anamiliki african media ambayo ina channel 10,magic fm,na kadhalika.pamoja na magazeti ya mtanzania na rai
 
Kumuombea c msaada sio tatizo ila tu maisha ya wandish wa habari hua ni magumu kwa maboss wao ndio mana hua hawapati ajira kwenye media
Matajiri wa media hua awasamini wandishi kisa tu wapo wengi mtaani nilishuudia ugonjwa wa mtangazaji 1 anaitwa yamolla dada huyu hadi anakufa alikua hana pesa hata ya kununua matunda kitandani akia amelazwa lugalo hospital uku akia anadai pesa ya malimbikizo kwenye media ya tajiri marufu nchini ndio hali halisi ya wandishi wa habari hapa kwetu husaminia pale wanapotumia tu kisiasa kisa kumfuraisha boss au mtu anaempa posho kwa wakati uliopo
 
Ni aibu kwa mwajiri mkubwa kama Chanel Ten kumwombea msaada mtangazaji wake.
 
Ungenijibu na kunielewesha kwa staha ungefanya vema zaidi

Huu ndio utanzania wetu...kuheshimiana hata tunapotofautiana...

Sijawahi kuwa popoma na haitakaa itokee niwe popoma....I'm a sane being ninaetegemewa na nchi yangu na family yangu....

Above all, I've learnt to be thankfull and grateful, irrespective

Huyo jamaa ni wa kutoka nchi ile ya jirani waliopigana vita vya wenyewe kwa wenyewe,anasumbuliwa na ile post war trauma....msamehe bure.
 
Ninadhani angekuwa ametenda ipasavyo kama angewaomba wagombea wote wa urais kumchangia. Hasa Magufuri anaetumia fedha nyingi kuwalipa wasanii wasio na tija yeyote katika kampeni zake.

Siku hawa wasanii anaowatumia wakipatwa na tatizo watakuwa sahihi kusaidiwa na Magufuri hata yeye keshasema hatawatumia alafu awaache, sasa vipi kwa hawa ambao katika mda fulani wa maisha yao waliwatumia na sasa anaitaji msaada, kwanini wasimsaidie?
 
Rweye umeaibisha nshomile wenzio,nakushauri urudi tena kwenu update rubisi kwa senene bila kusahau ebitoke kwa mputa labda akili itabusti
 
Rweye umeaibisha nshomile wenzio,nakushauri urudi tena kwenu update rubisi kwa senene bila kusahau ebitoke kwa mputa labda akili itabusti

Usilete unshomile hapa kwasababu mambo haya yanaongelewa na mtu yeyote bila kujari unatokea upande upi wa Tz. Wewe ndo unaleta aibu kwa kuandamaini habari ambayo imetangazwa na vyombo vya habari eti kisa rweye anatokea kwenye matoke, kwahiyo ningetumia Adam ungenambia nirudi Edeni nikamsalimie Hawa?
 
Rostam anamiliki african media ambayo ina channel 10,magic fm,na kadhalika.pamoja na magazeti ya mtanzania na rai

Mhhhh!!! inaonekana we mgeni kwenye masuala ya habari,piga kimya maana unavyoandika utafikiri kweli kumbe uongo, Rostam ni Mmiliki wa NEW HABARI (2006),yaani MTANZANIA,DIMBA,RAI. African Media mmiliki nahsi unamjua sema unajitoa ufahamu.
 
Tulishuhudia mnagawa pesa kuanzia ndani mpaka nje, misikitini mpaka makanisani, kwa maaskofu mpaka mashekh n.k. Huyu ni mfanyakazi na mtangazaji wa Channel 10 ambayo inamilikiwa na Rostam ambaye ni rafiki wa Lowassa, si mwingine, ni Meshack Nzowa.

Nampa sana pole kwa kuumwa Nzowa lakini nawakumbusha matajiri wake, mahodari wa kutoa, wamsaidie kiasi cha pesa kinachohitajika ili aweze kwenda kutibiwa nje ya nchi, msijifanye hamna pesa ama hamuelewi yaliyomkuta!

Msaidieni ama sivyo hii ni aibu kubwa kwenu nyie wawili, hauwezi ukampenda Mungu usiyemwona na aliye mbali na wewe halafu ukaacha kumsaidia mtu aliye karibu yako sana.

We ni mburula kabisaa.
Habari imejaa chuki na umbea umbea tu.
Na wala hata hujui unachokiongelea
 
Hapa badala ya kuona ni jinsi gani tutamsaidia huyu ndugu tunaleta siasa....hivi waliweka namba yoyote ya mpesa au nyinginezo ambapo mtu yeyote anaweza kutuma alichonacho?
 
Tulishuhudia mnagawa pesa kuanzia ndani mpaka nje, misikitini mpaka makanisani, kwa maaskofu mpaka mashekh n.k. Huyu ni mfanyakazi na mtangazaji wa Channel 10 ambayo inamilikiwa na Rostam ambaye ni rafiki wa Lowassa, si mwingine, ni Meshack Nzowa.

Nampa sana pole kwa kuumwa Nzowa lakini nawakumbusha matajiri wake, mahodari wa kutoa, wamsaidie kiasi cha pesa kinachohitajika ili aweze kwenda kutibiwa nje ya nchi, msijifanye hamna pesa ama hamuelewi yaliyomkuta!

Msaidieni ama sivyo hii ni aibu kubwa kwenu nyie wawili, hauwezi ukampenda Mungu usiyemwona na aliye mbali na wewe halafu ukaacha kumsaidia mtu aliye karibu yako sana.

Kwa kweli umeniaibisha. Sasa nadhani urudi nyumbani ukaanze kushalila migomba. Umbea wa mjini, ni wa kisomi. Unahitaji ka utafiti kidogo. Utafungwa. Kabla hayajakukuta, bora ukalime.
 
Tulishuhudia mnagawa pesa kuanzia ndani mpaka nje, misikitini mpaka makanisani, kwa maaskofu mpaka mashekh n.k. Huyu ni mfanyakazi na mtangazaji wa Channel 10 ambayo inamilikiwa na Rostam ambaye ni rafiki wa Lowassa, si mwingine, ni Meshack Nzowa.

Nampa sana pole kwa kuumwa Nzowa lakini nawakumbusha matajiri wake, mahodari wa kutoa, wamsaidie kiasi cha pesa kinachohitajika ili aweze kwenda kutibiwa nje ya nchi, msijifanye hamna pesa ama hamuelewi yaliyomkuta!

Msaidieni ama sivyo hii ni aibu kubwa kwenu nyie wawili, hauwezi ukampenda Mungu usiyemwona na aliye mbali na wewe halafu ukaacha kumsaidia mtu aliye karibu yako sana.

We ni bonge LA kiazi man in a zako mwanaume mzima unakuwa muongo kama mkeo.
 
Wamiliki wamsaidie sio kumchangia kwani garama hio anaweza kuitoa 1 tu kati ya wamiliki sema hua hawasamini wandishi wao uku wao ndio huapa utajili na kuendesha media zao
 
Hapa badala ya kuona ni jinsi gani tutamsaidia huyu ndugu tunaleta siasa....hivi waliweka namba yoyote ya mpesa au nyinginezo ambapo mtu yeyote anaweza kutuma alichonacho?

Unajua ni bahati mbaya sana kwamba kuna watu wameamua kufanya hata maovu kisa tu ni wakati wa siasa, habari ya mtu kusaidiwa anapoumwa na kuomba msaada wa matibabu mwingine anaishadadia kana kwamba tumetoa majina ya kwenda kusoma undergraduate, hii ni habari ya kusikitisha ambayo siasa haiitajiki kabisa zaidi ya hawa aliowai kuganya nao kazi katika maisha yake na wana pesa kumsaidia kabla hata ya kuja kuomba misaada kwa watu wengine ..nimeamini mtu unathaminika ukiwa mzima na kusema kweli upendo haupo kamwe, namba ilitolewa kwa ajiri ya msaada sema nimeisahau sahivi
 
Rostam anamiliki african media ambayo ina channel 10,magic fm,na kadhalika.pamoja na magazeti ya mtanzania na rai

Ndevu Mzazi akili mtoto.Kaa kimya kama hujui mambo au uliza pasipokujifanya fundi wa kucheza disco peku kwenye floor iliyomwagiwa povu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom