Anatakiwa kupigwa risasi kwenye viwanja vya jangwani tunawattoto millioni 4.1 ambao hawajui watakula nini na wataishi wapi hii ni takwimu za serikali
dDoctor akipenya ikulu itabidi magereza yaongezwe, 4 sure hayatatosha kuhifadhi wafungwa.
kama huyo R.A ni fisadi basi wacheni serikali ichukue uamuzi sio sisi tukae hapa tunahukumu watu wakati hakuna ushahidi wowote.nafikiri alituambia kwenye viombo vya habari kama kuna mtu anaushaidi aupeleke mahakamani.na hakuna hata mmoja wetu hajaenda mahakamani,kwaiyo tusikae hapa tuna bweka bweka bila sababu.haisaidii lolote
mbona dk slaa alivokuwa padri alikuwa anabeba wanawake na kulala nao mpaka kuwajaza mimba hatusemi kitu wakati huyo kamuongopea mungu,je sisi wanadamu tukimpa nchi kweli tutapona jamani?ikiwa mungu hakumuogopa sisi ndio tutasalimishwa?kumbukeni jamani tuna wake!na huyu jamaa hatufai,
TOFAUTI na alivyojigamba kwamba ni mlipaji mzuri wa madeni anayodaiwa na serikali, Mbunge wa Igunga, Rostam Azizi anadaiwa Sh. 2,576,583,013 tokea mwaka 1993, MwanaHALISI limegundua.
Alikopeshwa Sh. 2 bilioni (2,025,739,660) mwaka 1993 na 1997 na Mfuko wa Kuwezesha Uagizaji Bidhaa (CIS) uliokuwa ukifadhiliwa na serikali ya Japan na kusimamiwa na Wizara ya Fedha na Uchumi.
Alitumia makampuni ya Africa Tanneries Ltd, Tanzania Leather Industries Ltd na Africa Trade Development.
Fedha nyingine alizokopeshwa ni Sh. 1,516,024,125. Hizi alikopeshwa na serikali ili kuagiza mchele kupitia mpango wa Counterpart Fund. Alitumia Kampuni ya African Trade Development.
Imethibitika kwamba Rostam ameshindwa au hataki kulipa deni hilo lililodumu kwa miaka 16 sasa.
Akizungumza na vyombo vya habari 3 Mei 2009, siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani, kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es Salaam, Rostam alitamba kuwa ni mlipaji mzuri wa madeni yake kwa serikali.
Mjomba,
MaDokta wapo wengi siku hizi...kuna udocta huu wa kupewa wa Saint Claus!
Unatakiwa u'specify docta yupi!...huh!
mimi nashindwa kuelewa kila watu wakituma hoja zao kuna mmoja anazifuta.nyinyi wana chadema mnamatatizo sana ila nasisi wana ccm tuna mpango wakuanzisha website yetu pia..maana kila mwana ccm akichangia hoja kwenye jamii forum mnazifuta na kazi kubwa mliekuwa nayo ni ku brain wash watu.hata mzikiri uchi ccm itapasua kama radi...anzeni kufikiria kuhusu vyama vya upinzani baada ya miaka 50 labda kutoka leo na huyo DR SLAA ni hodari wa domo bungeni sio kushika nchi hii.ivi nyinyi mnafikiria nchi hii kama tom n jerry wanavokimbizana eti...aisee kwakweli nyie
Mpaka sasa povu linawatoka mkuu!Ndugu na jamaa zao wanashabikia ccm ishinde uchaguzi ili kukwepa hukumu zitakazowapata. Angalia posts zao wanavyohaha !
Mkuu kilichobakia ni kuingia barabarani tu!Yote yana mwisho na mwisho wake ni oct 31, 2010. Hizi pesa zote zingeingia kwenye elimu utashindwa kutoa ELIMU BURE. Mungu tusaidie Dr. Slaa ashinde ili moto wa duniani hapa wauone hawa mafisadi