pmwasyoke,Tena mshikaji wa Rostam - anayejifanya mwenye Dowans - kaja. Watakumaliza kwa kuanika siri yao.
hii nimeipenda, hebu tuletee na CASHFLOW STATEMENT tuione mkuu, maana hapo ndo kwenye mambo
Hivi unajua hili bandiko lako linashitakika mahakamani?
Hivi unajua hili bandiko lako linashitakika mahakamani?
pmwasyoke,
Mtu mwenyewe hataki hata kuonyesha sura kwa waandishi wa habari na Watanzania, unategemea atathubutu kusimama mahakamani kujitetea?
hivi unajua hili bandiko lako linashitakika mahakamani?