Rostam Aziz's House for Sale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rostam Aziz's House for Sale

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Kandambilimbili, Apr 6, 2009.

 1. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #1
  Apr 6, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Katika jitihada za kuongeza mshiko wa kampeni, RA ameamua kuuza nyumba yake ya Mwananyamala. aliyekuwa tayari offer inakaribishwa.

  Ina swimming Pool na umeme plus maji viko line ya IKULU.

  [​IMG]
   
 2. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Duh....nimeishiwa ngivu kabisa!.....I was thinking ''big''...kumbe......kazi kweli kweli!
   
 3. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  line ya ikulu?????
   
 4. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2009
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Haijatulia hii!
   
 5. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Tupatie picha ya hiyo nyumba na specifications zake. Itakuwa ya urithi au????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Du Mwananyamala!!! Kiwanja ni low, medium au ni high density????? Kwi kwi kwi kwi!!!! Weka picha kama ile picha ya nyumba ya Manji upanga!!!!!! Ya Manji inatisha, sijui hii ya mwekezaji mwenzake imekaaje.
   
 6. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  sasa naanza kuogopa huenda hili ni anguko la JF
   
 7. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama huna cha kusema vemaukae kimya; tatizo mikono inawasha lakini ni kujishushia hadhi maana watu hapa wanaona kuna tatizo la IQ may be; why ujiweke ktk kundi la watu ambao you are here to make bla bla? SICKNESS
   
 8. s

  seer Member

  #8
  Apr 6, 2009
  Joined: Apr 2, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du ! hii inawafaa sana wajapani na china kwani Vyura wanapatikana kwa wingi sana hapo........:confused:
   
 9. Isaac

  Isaac JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2009
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 627
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  ISAAC:umesahau kuwa hata umeme ni wireless.:cool:
   
 10. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #10
  Apr 7, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ANGALIA ATTACHMENT  WEWE MALUNDE MALUNDI wewe ndio unawashwa vidole mpaka macho na akili vinashindwa kugundua thread iko kwenye FORUM gani pole mwenzetu kwa kudakia.
   
 11. idea

  idea Senior Member

  #11
  Apr 7, 2009
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 120
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  I think .........is not fit to be a member of great thinkers.
   
 12. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #12
  Apr 7, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Jamani JF ius for serious people kama umetumwa kuja kupoteza muda.....sio hapa.period.
   
 13. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #13
  Apr 7, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...lah, ili kuifikia inabidi ununue na kamtumbwi kakuvukia, huenda pia pana Mamba na viboko hapo!
   
 14. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #14
  Apr 8, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,372
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Jamani this is Joke/Utani....
   
 15. The Spit

  The Spit JF-Expert Member

  #15
  Apr 8, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  hii post mwenyewe kaitundika kwenye thread ya jokes/utani kwa hiyo sioni kama anakosa lolote kwa vile ina sifa ya kuwa joke/utani.
  otherwise wanaosema kuwa jf ni kwa great thinkers,then wanashindwa kuelewa kuwa ukiwa great thinker katika thread ya joke/utani then you still qualify to be a great thinker.
   
 16. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #16
  Apr 8, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Thank you, addition TO BE A GREAT THINKER YOU NEED ANALYTICAL SKILLS. sio tu unafikiria fikiria mpaka unashindwa au kupitwa na vitu muhimu and simple kama ukitaka kusoma posting yoyote ni vyema uangalie na forums, any way tuendelee tutawajua GREAT THINKERS NI KINA NANI.
   
 17. S

  Sella Member

  #17
  Apr 8, 2009
  Joined: Dec 10, 2008
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du hiyo nyumba ipo mwananyamala sehemu gani...au ndio mchanga wa macho nini
   
 18. Bonnie1974

  Bonnie1974 JF-Expert Member

  #18
  Apr 8, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tupo ukurasa mmoja.
   
 19. idea

  idea Senior Member

  #19
  Apr 11, 2009
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 120
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Unapanic nini? umepost kwenye utani jamani! So kubali kutaniwa.
   
 20. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #20
  Apr 11, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135


  Bila shaka huu nao ni utani/jokes!
   
Loading...