Ukiona wanaume wanaendekeza umbea basi ujue taifa limepotea
Baada ya rostam kusalitiwa na JK, jamaa alimwaga mpunga kidogo kuhusiana na ushirika wake na Ridhiwani Kikwete katika mambo ya kibiashara hadi JK alipomuomba msamaha ambao aliukubali kwa shingo pande.
Kati ya mengi aliyoyamwaga ni Umiliki wa malori 100. Ridhiwani anamiliki malori 100 aina ya Freightliner aliyonunua marekani. Haya magari yanasimamiwa na kampuni inayoitwa Delina inayomilikiwa na David Mosha ambaye Mfanya biashara wa mafuta wa hapa mjini. Dr. slaa alipoyasema haya, ulisema ni muongo ukatishia kumshataki. sasa ndani ya CCM pia tunayasema na ushahidi tunao.
Ridhiwani tunaomba ukanushe au uthibitishe kwani unamiliki pia vituo vingi sana vya mafuta. Ukikataa, basi yale magari hayana mwenyewe.
Siku ya Kihama nakuja kuvichukua vyote hasa kwenye serikali ya Mzee mzima ULIYETAMBA KWAMBA HAWEZI KUPATA URAIS AMBAYE KWA TAARIFA YAKO NDIYE ANAYEIENDESHA HII SERIKALI NA TAARIFA ZA KILA KITU TUNAZO RIZ1.. Unafahamu namaanisha nini?
mambo haya yote mmeyataka wenyewe CCM na watoto wenu. Mlitumia muda mwingi karibia miaka 30 tangia tupate uhuru kuchukia matajiri . Leo hii watoto wenu wanapata utajiri na kujikuta wanapata yale yale mliyomfanyia Lonho na mashamba yake ya chai.Baada ya rostam kusalitiwa na JK, jamaa alimwaga mpunga kidogo kuhusiana na ushirika wake na Ridhiwani Kikwete katika mambo ya kibiashara hadi JK alipomuomba msamaha ambao aliukubali kwa shingo pande.
Kati ya mengi aliyoyamwaga ni Umiliki wa malori 100. Ridhiwani anamiliki malori 100 aina ya Freightliner aliyonunua marekani. Haya magari yanasimamiwa na kampuni inayoitwa Delina inayomilikiwa na David Mosha ambaye Mfanya biashara wa mafuta wa hapa mjini. Dr. slaa alipoyasema haya, ulisema ni muongo ukatishia kumshataki. sasa ndani ya CCM pia tunayasema na ushahidi tunao.
Ridhiwani tunaomba ukanushe au uthibitishe kwani unamiliki pia vituo vingi sana vya mafuta. Ukikataa, basi yale magari hayana mwenyewe.
Siku ya Kihama nakuja kuvichukua vyote hasa kwenye serikali ya Mzee mzima ULIYETAMBA KWAMBA HAWEZI KUPATA URAIS AMBAYE KWA TAARIFA YAKO NDIYE ANAYEIENDESHA HII SERIKALI NA TAARIFA ZA KILA KITU TUNAZO RIZ1.. Unafahamu namaanisha nini?
hivi huyu Rostam Bado yupo? kweli jamani tushukuru mungu marekani kuuwa ukomunisti na binamu yake ujamaa na kujitegemea. Huyu Rostam alikwisha teka nchi yote na kuiweka mikononi. Freedom of press na kukuwa kwa demokrasi tanzania kumemkimbiza chamani .Baada ya rostam kusalitiwa na JK, jamaa alimwaga mpunga kidogo kuhusiana na ushirika wake na Ridhiwani Kikwete katika mambo ya kibiashara hadi JK alipomuomba msamaha ambao aliukubali kwa shingo pande.
Kati ya mengi aliyoyamwaga ni Umiliki wa malori 100. Ridhiwani anamiliki malori 100 aina ya Freightliner aliyonunua marekani. Haya magari yanasimamiwa na kampuni inayoitwa Delina inayomilikiwa na David Mosha ambaye Mfanya biashara wa mafuta wa hapa mjini. Dr. slaa alipoyasema haya, ulisema ni muongo ukatishia kumshataki. sasa ndani ya CCM pia tunayasema na ushahidi tunao.
Ridhiwani tunaomba ukanushe au uthibitishe kwani unamiliki pia vituo vingi sana vya mafuta. Ukikataa, basi yale magari hayana mwenyewe.
Siku ya Kihama nakuja kuvichukua vyote hasa kwenye serikali ya Mzee mzima ULIYETAMBA KWAMBA HAWEZI KUPATA URAIS AMBAYE KWA TAARIFA YAKO NDIYE ANAYEIENDESHA HII SERIKALI NA TAARIFA ZA KILA KITU TUNAZO RIZ1.. Unafahamu namaanisha nini?
Jaman mwenye Evidence amwage hapa JF kwa sababu mpaka mikoan ghoropa zuri linalojengwa au linalokaribia kukamilika watu wanasema huyu ni Rithiwan , hebu mwenye data kamili alete tujue, tusiendelee kujadili vitu kwa hisia
mwezi mtukufu kwako wewe na si kwa kila mtu, ujue kila mtu anaimani yakeJF muwe waungwana na wakweli ktk mwezi mtukufu, dhana mbaya mwenye ushahidi aweke hadharani. Huyo mt1 petro station yeye,maghorofa yeye,magari yeye!! jamani majungu hayafai....!!tutumie muda wetu kufikiri na kutafuta maisha sio kutafuta habari za majungu
Jaman mwenye Evidence amwage hapa JF kwa sababu mpaka mikoan ghoropa zuri linalojengwa au linalokaribia kukamilika watu wanasema huyu ni Rithiwan , hebu mwenye data kamili alete tujue, tusiendelee kujadili vitu kwa hisia
Mkuu Riz1 siyo kwamba ana miliki malori 100, bali aliagiza malori 100 kwa mara moja kutoka marekani. Hivyo ana zaidi ya Malori 100.
Tanzania ni mali ya familia moja mkuu haitakiwi uhoji. ukiendelea kusumbua tutakuhoji uraia wako!
Mtabaki majungu tu wenzenu wanaendelea na umri wako unazidi kwenda huna chochote katika maisha yako..kalaga bao.. Watz sahizi tumebaki majungu na fitina za kichadema huku wenzenu wa kenya wanashika soko lenu la Tz..mtabaki watumwa nchini mwenu... Umbea ndo umetujaa ...
Hata hiyo degree hajaifanyia kazi maana jamaa ni kilaza mbaya kichwan kama unabisha uliza waliosoma naedr.slaa alishawah kusema uyo dogo riz1 anautajir wa kutisha! yan degree1,malori100,haingii akilini kabisaa huu ni....,.