venine
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 1,458
- 1,567
Bakresa hakuibuka kama uyoga.. alianza kama njasiriamali mdogo aliyekuwa anauza keki na bidhaa za namna hiyo. biashara yake imeenda ikukua mpaka kaja kuwa tajiri mkubwa. nafikiri wanachohoji wa2 hapa, kama ni kweli riz ana utajiri mkubwa kiasi hicho (ambao wengi humu jamvini hatuna uhakika/ evidence), hiyo capital kubwa hivyo kaipata wapi ghafla? kakopa bank? karithi kwa wazazi? au u-advocate umemlipa sana akawa na hizo maliWakati ni kweli dogo ana pesa isiyo na maelezo, bado sioni uhusiano kati ya degree na pesa. Bakresa ana degree mia ngapi boss?