Rostam Aziz Kugombea Urais 2015????

Rostam Aziz Kugombea Urais 2015????

Amanikwenu

Senior Member
Joined
Dec 1, 2009
Posts
187
Reaction score
0
Wakuu,

Kuna tetesi kuwa RA atajitosa kugombea Urais mwaka 2015. Yangu macho na masikio....
 
Na biashara zake akuwachie wewe?
 
Hataki siasa uchwara! labda agombee urais wa biashara!
 
urais wa nchi ipi? tanzania hii hii? wewe umetaka kuchekesha watu humu jamvini.
 
Mimi nitahama nchi niende Iran kugombea urais
 
Urais wa CHANETA au?
Kama wa TZ, Mara mia agombee kati ya hawa kilaza livingston lusinde, wasira, prof majimarefu au mzee wa kulala na midume4(mwigulu nchemba). Wakati huohuo umoja wa upnzani ukimsimamisha Fahim Dovutwa.
 
Huo ni utani. RA ni mwanasiasa/mfanyabiashara mjanja ameisha ona mbali kwamba CCM itaondolewa madarakani miaka michache ijayo. Amejiondoa ktk siasa na anaondoa biashara zake kubwa Tanzania! Na hii ni karibu wafanyabiashara wote tata wa wenye asili ya Kiasia!! Wenzetu wana maono ya mbali siyo kama sisi ngozi nyeusi tunaowaza leo!
 
Urais
wa CHANETA au?
Kama wa TZ, Mara mia agombee kati ya hawa kilaza livingston lusinde,
wasira, prof majimarefu au mzee wa kulala na midume4(mwigulu nchemba).
Wakati huohuo umoja wa upnzani ukimsimamisha Fahim Dovutwa.
hahahahahahaha umenifurahisha huyo fahim dovutwa akivaa zile fomu zk anakuwa km mgambo
 
hahaha, hivi ni vichekesho... hebu ngoja nicheke mimi hahahahhaha!!!
 
Back
Top Bottom