Hata walioiba kwenye richmond, chenji ya rada, epa nao ni masikini
Mkuu utakuwa na mawazo ya kijnga sana hivi kweli mtu mwizi kama Rostam awe waziri wa fedha mtu ambaye hata uraia wake unatiliwa shaka.Lowassa usimwache kijana huyu kwenye safu yako naamini atuhitaji kuongozwa na waheshimiwa maskini ndio maana wakifika kule wanaiba na kusahau kilichowapeleka.
mtoa post wewe kichaa chako ni cha hali ya juu sana wakina kinjekitile junior hawakufikii
Sure mkuu bila kusahau wale wezi wa arusha na migodini wote wawe sehemu ya serikali yake.Ni kweli Tunahitaji watu kama Rostam Azziz,Chenge,Karamagi,Nyalandu,Ngeleja.Mzee wetu hakikisha ile team yote ya Richmond,EPA,na ESCROW lazima ziwepo kwenye Jeshi lako la miavuli.Usiwasahau wauaji wa RAIA wasio nahatia pia tutawahitaji sana,hasa yule aliyeua kule Arusha huyo naona akiwa Waziri wa Ulinzi na JKT ataweza kwa uhakika siyo tu kupambana na raia bali kuhakikisha raia wote watakaojifanya kutafuta HAKI zao kupotea tu kwa siri au kwa wazi.
Na hakikisha sheria ya Askari yoyote atakayeondoa MAISHA ya mpinzani atazawadiwa ubunge au Ukuu wa wilaya
Ukiawaacha Watanzania hwatakusamehe kamwe.............:A S 109::A S 109::A S 109::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused:
Lowassa usimwache kijana huyu kwenye safu yako naamini atuhitaji kuongozwa na waheshimiwa maskini ndio maana wakifika kule wanaiba na kusahau kilichowapeleka.
Lowassa usimwache kijana huyu kwenye safu yako naamini atuhitaji kuongozwa na waheshimiwa maskini ndio maana wakifika kule wanaiba na kusahau kilichowapeleka.
Sure mkuu bila kusahau wale wezi wa arusha na migodini wote wawe sehemu ya serikali yake.
Vijana.safi.wenyehela.za halali.kama.rostam.tunawaitaji sana atuitaji mhu.i.aje.kutafuta hela.kwenye.uwaziri
Mpwa unamaanisha...?
Kwa hiyo sifa ya kuwa waziri ni kuwa fisadi aliyekubuhu kwanza?
mtoa post wewe kichaa chako ni cha hali ya juu sana wakina kinjekitile junior hawakufikii
Nyama-mkebe we! Ebo!
viroba ni vibaya sana,bila shaka mwandishi na wewe ulikuwa umevigida vya kutoshaKwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia namna Channel Ten inavyotumika kumpamba Lowassa kwenye taarifa zake za habari, na kufanikiwa kuunganisha dots kama ifuatavyo:
Siku zote Channel Ten wamekuwa wakiripoti taarifa za Lowassa kwa ustadi wa hali ya juu sana na taarifa zake hupewa air time ya kutosha tofauti na wagombea wengine ndani ya CCM.
Huu ni mpango maalumu wa Rostam Aziz (mmiliki wa Channel Ten) kumpigia debe fisadi mwenzake ili pindi akifanikiwa kuingia ikulu ya magogoni washirikiane naye kuiba rasilimali za taifa.
Mtakumbuka kwamba Lowassa, Chenge na Rostam ni mapacha watatu (utatu wa KIFISADI) ndani ya CCM. Hawa watu hawakukutana barabarani. Wamekuwa wakishirikiana katika shughuli zao za kulihujumu Taifa kwa muda mrefu sasa.
Mtakumbuka hata Nape Nnauye alijaribu kuwavua magamba akawashindwa. Endapo EL atafanikiwa kuingia ikulu mwaka huu, basi elewa kwamba ikulu yetu itageuka kuwa pango la wanyang'anyi. Tuwe makini na mafisadi hawa na kamwe tusiwaruhusu kuisogelea ikulu yetu.
:israel: