Rostam Aziz afiwa na baba yake mzazi Leo

Rostam Aziz afiwa na baba yake mzazi Leo

Poleni wafiwa jamani...................na Mwenyenzi Mungu ampe pumziko la Milele shambani mwake Baba yetu!
 
Leo alfajiri baba mzazi wa Rostam Aziz, mzee Abdurasul Aziz amefariki dunia baada ya kuumwa kipindi kirefu. Alitibiwa Muhimbili na baadae kwenda Ufaransa ambako baada ya kuzidiwa alitaka arudishwe nyumbani Tanzania ili afariki akiwa huku.Baada ya kurudi alfajiri ya Leo alifariki masaa mawili baadae.

R.I.P,mzee abdulasul aziz....

with money you can buy a blood but not life;
with money you can buy a doctor but not a good health,
with money you can buy a position but not a respect.
with money you can buy a woman but not her love,
with money you can buy a bed but not a sleeping,
with money you can buy a house but not a family,
with money you can buy a book but not a material,
with money you can buy a clock but not a time.
 
attachment.php

Kina Nape Wanakula huku wanajamba!! Hii hatari sana!! Wanatia aibu mbele ya akina mama
 
RIP Mzee, hapa ndipo binadamu tujue kuwa hutaondoka na pesa au mali ulizochuma duniani hasa kwa njia HARAMU.
 
sidhani kama mkulu atakosa ktk mazishi.RIP baba wa fisadi papa RA.

mkulu ni mtu wa kuhani misiba, kuona wagonjwa, kutoa vyakula kwenye vituo vya watoto yatima, kusafiri safiri na kusamehe mafisadi papa. ni kiongozi wa peke yake.
 
Huo msiba ungekuwa mtaani kwetu wahuni wasingeumiza kichwa kwa kupata chakula hadi wiki inaisha
 
Back
Top Bottom