Yaani babayake kutaka afie huku na hilo kutokea basi watoto wake wamekuwa raia!!!!!!??????
Inahitaji zaidi ya kufiwa na mzazi ili kuwa raia
sidhani kama mkulu atakosa ktk mazishi.RIP baba wa fisadi papa RA.
Leo alfajiri baba mzazi wa Rostam Aziz, mzee Abdurasul Aziz amefariki dunia baada ya kuumwa kipindi kirefu. Alitibiwa Muhimbili na baadae kwenda Ufaransa ambako baada ya kuzidiwa alitaka arudishwe nyumbani Tanzania ili afariki akiwa huku.Baada ya kurudi alfajiri ya Leo alifariki masaa mawili baadae.
ha!ha!mwanae fisadi.arudishe hela zetu tunakufa ukuMshenzi wewe,pesa inaingiaje hapa?
Alicho manisha nikwamba kama hela ina nguvu ingeponesha au kununua uhai wa huyo mzee Aziz lkn MUNGU MUUMBA ndio kila kitu na sio mahela mengi. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPON.