Rostam Aziz aachia ngazi CCM

Wadau wanavyochangia hii nyuzi ingekuwa wanachangia hivi mwenye mipango ya kuondokana na giza Tanganyika tungepata nuru ya mwanga.
 
Do you agree that the accused must be presumed to be innocent until his guilt is established by legal and competent evidence beyond reasonable doubt ?
Hapana Mkuu when it comes to ufisadi na issue za rushwa.., only assumption is enough, tukingoja mpaka tupate proof beyond reasonable doubt tutashangaa nchi imeuzwa na hakuna mtu responsible
 
...rostam katuibia sana watanzania...ashtakiwe kwa mjibu wa sheria za nchi..

Ni kweli mkuu lakini tatizo liko hapa "Mwanasheria Mkuu wa Serikali and his grp." Sana sana kitakachotokea ni hiki:
1) Mwanasheria mkuu wa serikali akiwekwa kiti moto sana atafungua kesi mahakamani, itakaa miaka then itafungwa/itamalizwa kwa kukosekana ushaidi na Rostam ataibuka kidedea. Then watanzania watamlaumu hakimu/jaji aliyesikiliza kesi wakati mchezo umeshachezwa na mwanasheria mkuu, wapelelezi, polisi etc. Or
2)Serikali itasema haina ushahidi ni mchezo mchafu wakisiasa, hawawezi kufungua kesi mwenye ushaidi apeleke.
Mfano mzuri ni kesi ya Mramba na mwenzie. Hii kesi I guarantee itakwisha muda si mrefu. Imefunguliwa tu kama kiini macho lakini hamna evidence zakuwashtaki hawa watu. Anayeisikiliza kesi ameipa serikali muda wakupeleka/kukamilisha ushahidi lakini hii kesi ni weak mno (hamna ushahidi wakutosha). At the end of the day Mramba na mwenzie wataibuka kidedea. Watanzania watabaki kumlaumu hakimu kama kawaida yetu bila kugundua mchezo mzima. Kumbuka kesi ya Chenge yakugonga mtu, ushaidi uliaribiwa eneo la tukio. Kesi ilifunguliwa tu kama kiini macho na kutokana na kelele za wananchi ilibidi Chenge a-pay something somehow.
 
kwa fikra za kawaida sidhani kujiuzulu fisadi mkuu kutasaidia kusafisha chama cha magamba cha msingi ni full commitment ya wa2 wote ndani ya chama kufuata miiko na original principles za chama na kuacha ufusadi kwa style hta akijiuzulu JK na wengine bila kuacha unafiki na ufisadi ccm 2015 na chaguzi zijazo wataisoma number ya cdm vizuri
 
The man is innocent, regardless of your personal feelings towards him
Tell me whaaaat?Hata vibaka wanaochomwa moto na kuuwawa kilj cku ni innocent'There is this one day, wanaowauwa vibaka na kuwachowa moto will show him what hell looks like. Simple! SOB!
 
Nimetafakari, nimesikiliza, na sasa nasema yafuatayo:
Siku NEC walipotoa tamko la kuvua gamba Chiligati alisema wazi kuwa wa kwanza kuvuliwa gamba ni wale waliokichafua chama kupitia dowans, kagoda, deepgreen, meremeta, richmond rada kuwa wanatakiwa wavuliwe gamba, na wakati anasema hayo alikuwa na confidence sana, ikafuatiwa na Msekwa, kisha Nape na kwa kutaja strategy.

Katika hali ya kwaida, walipokuwa wansema hayo walikuwa na uhakika, kwani mambo hayo ndiyo yaliwafanya waingizane kwenye madaraka. nina uhakika wanajua kila kitu.

Kwa nape, tunakutaka sasa muwapeleke mahakamani ili gamba sasa liteketezwe, si mesema yeye mwenyewe kuwa alituhumiwa na mambo hayo, basi mpelekeni mahakamani ili haki ikatendeke, msipofanya hivyo, hatutawaamini kamwe, maana mtakuwa mnafanya magumashi kwa watanzania
 
Hongera sana Rostam kwa uamuzi huu lakini inaonekana bado una kinyongo kwa wapinzani wako wa kisiasa. Lakini cha muhimu tunachohitaji sisi ni wewe ushitakiwe mahakamani juu ya uhusiano wako na Kagoda Agriculture Limited na Richmond Development Corporation. Kujivua tu nyadhifa si kitu kwa watanzania. Hata hivyo, tunaamini kwamba tukio hili ni muendelezo wa sinema za CCM juu ya kushughulikia Mafisadi wakubwa wa nchi hii.

Kesho na kesho kutwa utaskia Nape anajisifu majukwaani eti 'Tumewavua nyadhifa watuhumiwa wa ufisadi'.
Tunataka pesa zetu.
By TUMBIRI wa MIKUMI
 
Huu ni ujumbe kwa wabunge wote wa CCM ambao ni wafanyabiashara, waachie ngazi. Wapo bungeni kwa maslahi yao ya kibiashara na si kuwatumitumikia wapigakura wao.
 
Tanzania nakupenda ila watu wachache wanakunyonya. Nguvu ihamie kwa Nimrod Mkono na wengine. Kudos CHADEMA
 
Ubunge hawezi achia kwani kanuni za bunge na katiba bado vinaruhusu mafisadi kuwa waheshimiwa. Tena, hawana aibu kabisa hata mtu akipatwa na kashfa ya aibu lakini ubunge haachii.

Msukumo huo si mwingine bali ni ule wa kuamua kuachia nafasi zangu zote za uongozi ndani ya chama, nikianzia na ile ya ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa nikiuwakilisha Mkoa wa Tabora na hii ya ubunge wa Igunga ambazo kama si kwa baraka za chama changu nisingelikuwa nazo.
 
Hii ndo habari yenyewe, nimeongea naye anasema hakuna kitu cha namna hiyo
Hii ni habari za kizushi, anasema huu mchezo wa habari za kusadikika zinachezwa na
wanaccm wanzake hili kumchafua hasahasa katibu muenezi,
amesema "hii itasababisha chama changu kuwa hatari wakiendelea na mchezo huu" mwsho wa kunukuu


Wakuu ndo hayo tu

Dhu..... Mliongea lini na wapi??? No wonder Rev hakukuamini toka mwanzo!!
 
kwa fikra za kawaida sidhani kujiuzulu fisadi mkuu kutasaidia kusafisha chama cha magamba cha msingi ni full commitment ya wa2 wote ndani ya chama kufuata miiko na original principles za chama na kuacha ufusadi kwa style hta akijiuzulu JK na wengine bila kuacha unafiki na ufisadi ccm 2015 na chaguzi zijazo wataisoma number ya cdm vizuri

Mkuu umenena vyema. Kujiuzulu kwa Rostam haitakuwa suluhisho la kuiokoa CCM. CCM kama kweli inataka kujitakasa inabidi ijivue gamba kweli kweli na hata kuivunja serikali na kuanza upya.

Hivi Ngeleja bado yuko salama kweli?
 
Kufuatana na news bulletin ya Ch 10 muda mchache uliopita alihutubia kujiuzulu katika mkutano maalum wa CCM Wilayani Igunga. Mtangazaji alisema kuwa baada tu ya kutangaza kujiuzulu nyadhifa zake baadhi ya waliohudhuria walikuwa wakipiga kelele: HATUKUBALI, HATUKUBAL na kuna mtu mmoja alianguka na kuzimia.
 
There are currently 2500 users browsing this thread. (372 members and 2128 guests) ... Akina Guests ni akina nani hawa?
 
There are currently 2499 users browsing this thread. (369 members and 2130 guests)


Who is Next?? ...................................................................................!!!!!!
 
Yet, he is still innocent as no court has found him guilty of anything....

Ha ha ha! How can the court found him guilty or not guilty without the case? Attorney general office is ruined by politicians; no one does anything for the interest of the country. If Rostam think he is innocent, then he should sue those people (CCM) who accused him of being so called "gamba" to prove his innocence. If he can not do so, then he is giving us (the people) the option of chosing what we want to believe! And guess what the majority believes "He is ....." The burden of proof now is on both sides (CCM and Rostam).
 
Alichonishangaza alikuwa anaoongea na wazee tu!! Je alichaguliwa na wazee tu au na wananchi wa Igunga?? Au anataka kusema Igunga ni ya wazee tu??
 
Back
Top Bottom