Anaweza kufanya hivo ili kuilinda CCM kama Lowasa alivyojiuzuru Uwaziri Mkuu kuilinda serikali isianguke kabisa. RA hana atakachopoteza kwa kufanya hivo. Kwanza akiwa "benchi" anautazama mchezo wa 2015 kwa vizuri zaidi.labda anajifukuzisha mwenyewe chama kwenye chama...
JK yupo leave. Serengeti au hujaona nyuzi inayosema hayo leo humu humu JF?
Tatizo lako kuwa, unauona ukweli lakini huukubali. 1) Tazama hii nyuzi na hao waliobandikwa kuwa wanaiangalia kwa sasa. Kibao. Jee, hiyo haikudhirishii kuwa jina la Rostam lina uzika?2) Kuhusu Slaa kuwa maternity leave kwani hujasikia kuwa nyumba ndogo yake ina ujauzito? Kinachokushangaza ni nini?unapobadili matumizi ya kichwa kufikiria sasa haya ndiyo madhara yenyewe.
ccm wote ni vichwa maji, Tazama upumbavu wao, tazama ukichaa wao, tizama fikra zao, soma maneno yao. . . Nitajie Timamu !Jina la Rostam linauzika. Hivi Dr. Slaa siku hizi idle kama mimi house wife, naona habanduki JF, au yupoi maternity leave?
Tatizo lako kuwa, unauona ukweli lakini huukubali. 1) Tazama hii nyuzi na hao waliobandikwa kuwa wanaiangalia kwa sasa. Kibao. Jee, hiyo haikudhirishii kuwa jina la Rostam lina uzika?2) Kuhusu Slaa kuwa maternity leave kwani hujasikia kuwa nyumba ndogo yake ina ujauzito? Kinachokushangaza ni nini?
Tatizo lako kuwa, unauona ukweli lakini huukubali. 1) Tazama hii nyuzi na hao waliobandikwa kuwa wanaiangalia kwa sasa. Kibao. Jee, hiyo haikudhirishii kuwa jina la Rostam lina uzika?2) Kuhusu Slaa kuwa maternity leave kwani hujasikia kuwa nyumba ndogo yake ina ujauzito? Kinachokushangaza ni nini?
Ubunge sio nyadhifa, ubunge ni uwakilishi na wanaomchagua ni wananchi. Tazama Shibuda alipotemwa CCM akaukwaa Ubunge kupitia cdm. Au umesahau, nikukumbushe na Slaa? Alipopigwa chini akaukwaa ubunge kupitia wapi? Kuweni makini kidooogo. Kwa kiwango alichofika Rostam anaweza kuwatumikia wananchi bila ya kuwa Mbunge. Hilo likumbuke.
Post ya 70 bado tetesi?????????????????????????????????????????????
Baada ya kuisoma hii thread,nimewasiliana na jamaa zangu watano ambao ni wana habari hapa tabora mjini kama kuna mwana magamba yoyote anaye vua gamba hapa tbr leo.majibu ya ni kwamba,hamna mtu yoyote aliyewaita kwenye press conferannce.hiz taarifa sio sahihi,though kuna tetesi za RA kuja tabora.Wanajamvi:Habari za kuaminika ni kwamba Rostam Azizi asubuhi hii atatangaza kujivua gamba rasmi katika mkutano na waandishi haabari Tabora. Anajiuzulu nyadhifa zote nakubakia na kadi ya CCM tu.
Wanajamvi:Habari za kuaminika ni kwamba Rostam Azizi asubuhi hii atatangaza kujivua gamba rasmi katika mkutano na waandishi haabari Tabora. Anajiuzulu nyadhifa zote nakubakia na kadi ya CCM tu.
ila nianchojua ni kwamba jk anakutana na Rostam leo jion huko serengeti Bilila lodge kempinski ambako jk ameenda kwa ajili ya mapumziko.....
JF haina memba Tabora? Invizibo yupo wapi kuangalia source zake? tetesi inaenda masaa mawili duh.
Wanajamvi:
Habari za kuaminika ni kwamba Rostam Azizi asubuhi hii atatangaza kujivua gamba rasmi katika mkutano na waandishi haabari Tabora. Anajiuzulu nyadhifa zote nakubakia na kadi ya CCM tu.