Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
Mkuu umebalance story.Inahitaji wendawazimu kumtetea Rostam!
Lakini ni uchizi zaidi kuzua vitu from nowhere!
Ni wendawazim!
Kwangu mimi nadhani watu hawamtetei Rostam bali wanatetea integrity and reliability ya JF. Habari iliyoletwa hapa haina kichwa, kiuno wala miguu. Haiko elaborative enough kuonyesha kwamba mtoa habari ana habari. Huenda amesikia kijiweni akaamua kuiweka hapa bila kupiga hatua moja mbele ili kujiridhisha kwa vitu vichache ambavyo watu wanataka ufafanuzi.Angesubiri na kuipata kwa mapana yake ingekuwa vyema zaidi, anakimbilia nini kupost kitu robo manake hata nusu haijafika!